UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,019
Jamani msaada.
Hivi ukiwa na mkeo tena mna watoto wawili na mwanzoni ulikuwa unamwamini sana ila sasa unakosa kumwamini kutokana na vitabia flaniflani unafanyaje?
Je unaweza kumwambia live au kwa mafumbo na impact ya kumwambia live nini?