Mpenzi wangu ananichanganya

Mpenzi wangu ananichanganya

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Wajamani nitakufa.

Siku ya alhamisi nimemfumania mpenzi wangu kwa mara ya tatu.

Mara mbili nilizo mfumania nilimsamehe. Mara ya tatu nikaona isiwe tabu, mkunguru shetani afugiki.

Kwa bahati nzuri siku ya ijumaa nikawa nimesoma hapa MMU kuwa kazi ya moyo ni kusukuma damu siyo kupenda, nikamuacha mpenzi na kashifa juu.

Kufika usiku siku ya ijumaa usingizi sikupata, jumamosi moyo uliniuma nahisi damu ilikuwa imepunguza mwendo.

Jumapili yote jana nikawa bedrest moyo, akili vimepoteza mwelekeo.

Leo kazini kazi sikufanya.

Jamani mtoto wa kirangi ananifanya chizi.

Nimemtumia sms ya kurudisha majeshi leo,nimekoga matusi.
 
acha hizo msandawe ukiendelea kumng'ang'ania atavimba bichwa na hiv keshajua umekufa kwake ndio kabisaaaa utakufa siku si nyingi be a man
 
Duh. Pole. Inaelekea kuna tendo au mambo fulani maalum ulikuwa unapata ndiyo maana hugeuzi. Na hata kama ni mtundu na 'unawajua' wanawake lakini kuna kitu flani maalum ulipewa au ulikula sasa wataka vunja sahani kwa uroho. Binafsi sikulaumu sababu sijui ulichopewa ukazimika. Nachoweza kukushauri jipe muda. Utasahau.
 
Pole mkuu. Angekuwa ni mkeo ningekuambia samehe saba mara sabini, ila hapo jipe muda utapata uelekeo
 
Huwa napenda mtu mkweli kama wewe sio ujifanye mwanaume kukomaa wakati unaumia moyo.Ila yangekuwa makosa mengine ningekushauri ukomae nae kama unampenda kweli ila hilo la kufumania hapana kwakweli jikaze kiume tu usije jisababishia maradhi bure ila pole sana
 
jikaze kiume, utamsahau...ila mtoselee mbalini
 
Duh. Pole. Inaelekea kuna tendo au mambo fulani maalum ulikuwa unapata ndiyo maana hugeuzi. Na hata kama ni mtundu na 'unawajua' wanawake lakini kuna kitu flani maalum ulipewa au ulikula sasa wataka vunja sahani kwa uroho. Binafsi sikulaumu sababu sijui ulichopewa ukazimika. Nachoweza kukushauri jipe muda. Utasahau.

Wewe acha tu ndugu yangu.
 
Hujaingia mkataba wa kusainishwa kisa cha kujiumiza? Jiweke pemben
 
Wajamani nitakufa. Siku ya alhamisi nimemfumania mpenzi wangu kwa mara ya tatu. Mara mbili nilizo mfumania nilimsamehe. Mara ya tatu nikaona isiwe tabu, mkunguru shetani afugiki. Kwa bahati nzuri siku ya ijumaa nikawa nimesoma hapa MMU kuwa kazi ya moyo ni kusukuma damu siyo kupenda, nikamuacha mpenzi na kashifa juu. Kufika usiku siku ya ijumaa usingizi sikupata, jumamosi moyo uliniuma nahisi damu ilikuwa imepunguza mwendo. Jumapili yote jana nikawa bedrest moyo, akili vimepoteza mwelekeo. Leo kazini kazi sikufanya. Jamani mtoto wa kirangi ananifanya chizi. Nimemtumia sms ya kurudisha majeshi leo, nimekoga matusi.

Pole sana mkuu..

Mimi naamini kuwa kila kitu ni process, lazima kipitie hatua kidogo kidogo mpaka kuja kuwa kitu fulani.

Unapoamua kuachana na mpenzi wako papo kwa papo lazima utadhurika tuu ukweli nakwambia!

Jambo la msingi ambalo ungefanya ni kujaribu kukata kamba mdogo mdogo sio ghafla kiasi hicho.. ungepunguza maumivu!

By the way, nikupe pole... Jaribu kutafuta mazingira ya kuwa wewe pekee, maeneo yenye hewa nyingi..

Piga kelele kwa sauti kubwa sana, sauti ambayo itaondoa maumivu... rudia kadiri unavyoweza...

Rudia zoezi angalau mara 2 ama 3, kunywa maji.. hapo mzunguko wa damu utarudi kwenye kiwango chake..

vipo vya kushea, lakini sio mapenzi!
 
Mjomba kaza roho mbona watoto wa kisandawe nao si wa kubeza mrangi kakuzidi uelewa kidogo2. Kama vp nenda goima huko pia utawakuta watoto wakali balaaa, mkuu jifunze kuacha na kusahau hii itakupa sana ujasiri japokuwa inahitaji roho ngumu, ila uamuzi unao wewe hapa unachotafuta ni watu wangapi wanamawazo kama yako.
 
Hahahahaaaa, nimefurahi best mtoto kakuchanganya nawe umechanganyika vyema, just nikupe pole kwa kuonyesha udhaifu wako live, mtoto kakusoma atakuendesha sana, by da way hiyo ni asili yao hawatulii na mmoja.
 
Pole sana mkuu..

Mimi naamini kuwa kila kitu ni process, lazima kipitie hatua kidogo kidogo mpaka kuja kuwa kitu fulani.

Unapoamua kuachana na mpenzi wako papo kwa papo lazima utadhurika tuu ukweli nakwambia!

Jambo la msingi ambalo ungefanya ni kujaribu kukata kamba mdogo mdogo sio ghafla kiasi hicho.. ungepunguza maumivu!

By the way, nikupe pole... Jaribu kutafuta mazingira ya kuwa wewe pekee, maeneo yenye hewa nyingi..

Piga kelele kwa sauti kubwa sana, sauti ambayo itaondoa maumivu... rudia kadiri unavyoweza...

Rudia zoezi angalau mara 2 ama 3, kunywa maji.. hapo mzunguko wa damu utarudi kwenye kiwango chake..

vipo vya kushea, lakini sio mapenzi!
Mkuu asante but kupenda kubaya sana. Agrrii!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom