kigori wa kilwa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 483
- 149
Najivunia kuzaliwa KILWA kwenye watu wa kwanza kutumia PESA Afrika, nyumba za kale, mapango ya asili, chanikiwiti, Bahari, visiwa, rasi, ghuba, Gesi na vijiji km Kivinje, Kikole, Kipatimu, Kisiwani, Kisangi, Kinjumbi, Kiwawa, Masoko, Mavuji, Chumo Migelegele, Marendegu, Mitole, Mtoni, Hotel 3, Miteja, Lihmaliyao, Mkondaji, Mandawa, Kisongo, Lushungi, Malalani, Mingumbi, Mtitimila, Makangaga, Songo mnara, Singino, Mitondo, Somanga, Songosongo,Nakimwela, Nainokwe, Njinjo, Nanjilinji, Nangurukuru, Namwedo, Namayuni, Mkwanyule Pande, Likawage, Luyaya, Njia 4,Ruatwe, nk. "KARIBU KILWA" .