naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,750
- 2,438
Nawakilisha kutoka kwa jamaa yangu moja anaomba ushauri jamani.
Girlfriend wangu kajaliwa mwaka jana lakini mwezi jana nilienda kumtembelea maana yeye anafanyia kazi Tabora na mimi nipo Mbeya.
Pale kazini kwao ana rafiki yake wa kike ambaye nimekuwa nikiwasiliana naye mara kwa mara kwenye simu lakini hatukuwahi kuonana ana kwa ana, lakini mwezi jana nilienda Tabora kumtembelea mchumba wangu pia nikabahatika kuonana na huyo rafiki yake lakini sasa baada ya pale ( baada ya kuonana na huyo rafiki wa g-friend wang), yule binti kabadilika sana yaani huyo rafiki wa girlfriend wangu, nikimpigia simu hapokei niki mtext hajibu.
Kitu ambacho ni tofauti na zamani kabla hatujaonana, najiuliza tatizo ni nini jamani mpaka napata wasiwasi hasije akaharibu uchumba wetu.
Nisaidieni wana jamvi nini kifanyike.