Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,723
- 11,336
Hivi inakuaje mwanaume anakuja kutafuta mwanamke wa kuoa hapa Jf.Ina maana kashindwa kabisa kuwaona wanawake mitaani.Kiukweli wanawake ambao hawajaolewa na wanaohitaji kuolewa wapo wengi mno mitaani.Nenda maofisini mna wadada wengi tu sehemu mbalimbali za kazi madada wapo wengi mno hawajaolewa.Inakuaje watu watafute mke wa kuoa. humu?