Wana Mmu Nahtaj Mawazo Yenu,naitwa Mary Nilikuwa Na Mpenz Tulipendana Xan,tumekuwa Pamoja Kwa Mwaka Xaxa.Tulivumiliana Xana.Alitaman Xana 2pate Mtoto Ila Nahisi Mungu Hakupanga Akahc Labda Natumia...
Habari za jioni wana MMU?
Siku hizi kumeibuka wimbi kubwa la upakaji na utumiaji wa LIPSTICK, mara nyingi tumekuwa tukiipaka kwa wingi "kuikoleza" tunapoona imepungua, nahisi kupungua kwake...
Hi all, I'm a single gentlemen, social, energetic, hardworker with vision hereby looking for a single lawyer to initiate a relationship with intention to create a Domestic relationship. The...
Wakuu miaka 28 si midogo, baada ya uvumilivu wa muda mrefu hatimaye Mungu amenifanikisha kuingia katika taasisi ambayo vijana wengi wanaiogopa(ndoa)
Kwa ufupi mimi na huyu mwenzangu tumedumu...
Wazee hope mko pouwa.
Kwa kitambo nimekuwa busy na mchakato ya maisha so two months iliyopita nimerudi jukwaani niliyoyakuta ni aibu hata kuwaeleza.
Sorry mwanzoni nilikuwa nadhani nimeingia...
Nina mtoto wa kiume ana maiaka 6 karibia 7 bado miezi kama mitatu. Naweza kusema tangu amezaliwa amekuwa tofauti sana na wenzake waliomtangulia. Niligundua kuwa ana uwezo zaidi kuwashinda wenzake...
Hii ni kweli na mara kadhaa nimelithibitisha hilo mie mwenyewe.
Kuna mdada humu MMU anapost sana mabandiko, kumbe ni mke wa jamaa yangu wa karibu.
Mandhari ya tukio inaonekana Ilikuwa hivi...
Before you MARRY a lady, invite her
for dinner, eat together & watch out for the
following:-
1. If she starts eating the meat before you it
implies that, she will plan for your salary/income...
Huwa nashindwa kuelewa mwanaume akimpa pesa mpenzi wake baadhi ya watu husema kamuhonga tu au inawezekana kuna kiasi fulani cha pesa ukimpa mwanamke inahesabika umempa kwa mapenzi yako tu na labda...
Juzi kati nilienda kijiji kwenye msiba wa babu yangu nikakutana na kamchepuko kangu ka enzi hizo za shule ya msingi bahati nzuri hajaolewa na anakaa mwenyewe pembeni kabisa na nyumba ya familia...
House boy mwizi wa wine ya baba na mama anamtetea kila mara
Baba: akamwita house boy
House: Niko jikoni baba ntaunguza chakula nikija huko
Baba: Sawa basi nijibu ukiwa huko, nani anakunywa wine...
Wanawake walioolewa humu wanaonekana wastaarabu,ila hivi vibinti vya humu MMU wengi wao wana midomo michafu wanaandika matusi fasta zaidi ya Eminem anayerap!.
Halafu ukifuatilia threads zao...
Wanawake mwaka huu mtakiona cha moto kama huu mswada ukipita, maana mmechosha kuongea uongo na kuficha baba wa watoto.
Unamkuta mdada ana mtoto miaka nenda rudi baba hajulikani! Ukimwuuliza...
Umri wangu ni kati ya miaka 35 na 45 pato langu kwa mwaka ni kati ya tsh 30m na 60m natamani kupata dada/mama ambaye hataona shida kupata nae mtoto moja tu.
Nataka atakeyependelelea awe na kazi...
Imekuwa kama ni fashion siku hizi jinsi wanawake wanavyovaa mitaani, yani mwanamke anayeonyesha zaidi viungo vyake ndo anaonekana anavutia zaidi, mfano , hua nawaona wadada wengi sana wanavaa mini...
Ninamchumba wangu ninaempenda sana,lakini tunashindwa kuelewana kwani tunasali madhehebu tofauti na amesema hawezi kutoka kwenye dhehebu lake.
Je mi nifanyeje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.