Karibuni WanaJamiiforums

Karibuni WanaJamiiforums

Karibuni kinywaji wana Jf wkend ndo hii....baada ya pilikapilika za week basi ni muda wakujipongeza.

Wale waliosema mwanamke akinywa pombe hana mvuto...karibia hapa upate kinywaji.Mie sipendi uchoyo.

pande za wapi?
 
Taja na kijiwe sasa, maana wengine ikifika ijumaa huwa tunageuka popo! Pipoz of ze pipo!!
 
Samak samak wamefunga.....suggest kijiwe basi jamani.
 
Mie niachie kwenye debe nifanye vitu vyangu.

 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Hizi ndo nyimbo gani mkuu BAK?!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom