tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,149
Kiumri nakaribia kufikisha miaka 30, ila katika suala la mahusiano sioneshi kupiga hatua yeyote.
Kifupi sijawahi kuwa katika mahusiano yaliyowahi kumaliza angalau miezi 6, nimekuwa nikijiuliza hasa ninapokosea bila kupata majibu.
Hili kwangu limekuwa tatizo sasa maana kila ninapojaribu kuwa serious nakutana na majanga matupu, nimejaribu kuhonga na kuonesha kinachoitwa "caring" ila vyote havijanisaidia.
Swali langu ni namna mnavyoweza kukabili changamoto za mahusiano na mbinu mnazozitumia kudumu, kuna muda nikisoma humu kuwa mtu amekaa na mpenzi wake miaka miwili huwa nashangaa sana.
Msaada wenu tafadhali maana natamani sana kutoka kwenye hii hali angalau niwe katika mahusiano yatakayoelekea kwenye ndoa.