Wadau kwa mtizamo wangu badhani michepuko haiwezi kwisha kwakuwa ni ukweli ulio wazi kuwa mapenzi ya wizi ni matamu kuliko mapenzi ya kawaida,,unaweza kuwa unapewa kila kitu na mumeo au mkeo...
Kwakuwa mmeamua kuwa pamoja na kushirikiana kuwa mme na mke.
Na kwakuwa mmeamua kuanzisha familia yenye watu waliona tabia tofauti tofauti
Sasa basi Mwanaume ndio atakuwa kichwa cha nyumba na...
Kuna binti mmoja wa kichagga ananipenda sana hata wakati mwingine amekuwa akifanya mambo ya aibu ili anifurahishe.
Amekuwa akiniomba sana tufanye kazi pamoja na hata kushinda pamoja sehemu...
Haka katabia cha kusema nimpe mwanaume au nimnyime mi siungi mkono. Kwani pale si wote mnapata raha? Sasa swala la kusema tunawachezea linakujaje? Au mnatupa kivipi wakati wote mnapeana. Coz kuna...
Mambo humu,
Jamani naomba msaada wenu, mimi na mpenzi wangu sasa mwaka wa tatu' tangu nipo kidato cha nne. Kwakweli kipindi hicho chote sikupata yale mapenzi ya dhati. Nlikuwa napata dharau...
Nawasalimu Wote
Mimi Ni Kijana Mwenye Umri Wa Miaka 20, Kiumbo Mimi Ni Mwembamba Sana Mpaka Nashindwa Kabisa kuanzisha Uhusiano Wa Kimapenzi Na Mwanamke.
Sometimes Nikikaa Na Vijana Wenzangu...
Unafunga harusi nyumba ya kupanga tena ya gharama milioni saba hata nyumba ya kwako huna kisa unategemea kazi ikitokea umefukuzwa Leo utafanyaje tuwe tunafikiri sana ni aibu na madhara yake ni ya...
:cheer2:NDIYO NAMPENDA SANA MPENZI WANGU, I LOVE HER CRAZILY.:cheer2:
MPAKA NILIPOKUBALI ANITAMBULISHE KWAO I MEANT REAL LOVING HER.
balaa likaanza pale mama mkwe alipotaka kujua kama nitakuwa...
Habari
Naitwa Nelson Richard wa Arusha, ni kijana mcheshi, mwenye bidii na ninaye heshimu watu.
Nina elimu ya chuo na kazi ya ofisini. Kutokana na majukumu ya kazi nakoswa muda wa ku-mingle...
Dalili hizi zitakupa kujihadhari mapema mara utakapoziona zinajitokeza mara kwa mara katika mahusiano yenu.
Kusudi la makala hii ni kuwasadia wale wenyematarajio yakuingia katika mahusiano ya...
Mwidiwee.. Namahorooo wana JF
Bado Niko najiuliza maswali juu ya wanaume wasomi hasa hasa kuanzia level ya masters, PhD hadi kule kwenye ukuta ulioandikwa elimu tena basi kwanini wengi wao...
Nina mahusiano na mdada karibia miaka 2 sasa, namhudumia kama kawaida kuanzia mavazi na mengineyo, anaishi kwa dada yake ambae tayari ana mume, kinachoniboa mpaka nahitaji ushauri ni hiki...
Iam Aboy Aged 23 Looking For Abeautiful Girl On My Life To Lay My Love On Her.For More Information Conterct Me On 0753-638460 Or Jasperkandakome@gmail.Com
Hili linaweza kuwa somo gumu hata kwangu mtoa mada,lakini nitajitahidi kueleza kadiri ya uwezo wangu
Wakati Mungu anatukataza tusile matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya,huenda Mungu alikua...
Jamaa ana mpenzi wake wa long time kitambo. msichana alikuwa nje ya nchi kimasomo mawasiliano na maelewano kama kawaida(kiufupi wanapenda sana). walipanga mchumba akimaliza wafunge ndoa. mchumba...
Habari wadau, Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikiishi peke yangu na sasa natangaza rasmi nahitaji mke humu ndani nipo Mwanza nina 30yrs nimeajiriwa nahitaji mwanamke anayejitambua asiwe mnene...
Habari!
Naitwa Nelson Richard wa Arusha, ni kijana mcheshi, mwenye bidii na ninaye heshimu watu. Nina elimu ya chuo na kazi ya ofisini. Kutokana na majukumu ya kazi nakoswa muda wa ku-mingle hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.