kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,500
Wewe, ambae mpaka saa hii (kama una mtoto anasoma) hujui hata kesho ataenda vipi shule au kamaliza homework zake zote for the new week na wala hujui vitabu vyake vina rangi gani, baba ambae hujali familia yako mwenyewe, lakini unakuwa wa kwanza kufika kwenye vikao vya ndugu.
Baba ambaye asilimia kubwa ya kipato chako ni 'yako mwenyewe'.
Wewe mwenye familia but badala ya ku spend muda wako mwingi na familia yako, unautumia na marafiki na mahawara halafu unadai muda wako mwingi unatafuta hela, kama si kazini kwako, kijiweni au kwenye biashara ya kuchimba chumvi tena hata si kwa mkeo.
Kwani kakwambia hapendi hiyo biashara?
Baba Jina ni wewe ambae wanao wanakusikia wakati unagomba, au umelewa, wewe ni baba kweli au ulisaidia tu kutoa mbegu?
Stop being a sperm donor!,
#Beresponsible