Naomba nieleweke,sina tatizo na mtu kutumia bajaji/bodaboda/daladala, mimi mwenyewe huwa nashika bomba kwenye daladala na mara nyingine natumia bajaj....sasa nielezee nini kimenifanya niandike hii...
Wadau ,mimi ni kidume nina mpenzi wangu anasema yeye anapenda nifuge rasta bila hivyo hata jihisi vizuri maana alishawahi kuwa na boyfriend kabla ambaye alikuwa mfuga rasta baadae wakamwagana...
Dear JF Reader,
--Have you been hit by the dreaded four-word-phrase: "Can We Be Friends?" It is a classic break-up line and an eventual one when a relationship hits the rocks.
--Since you...
Kaushauri ndugu zangu; usiku wa kuamkia leo ni siku ya tatu siyo mfululuzo naota nafanya mapenzi na secretary mmoja ambae yupo kazini kwetu ila sipo nae ofisi moja.
Sijawahi kumtongoza, sina...
Idd njema kama unasherekea
Moja kwa moja kwenye lengo
Rafiki yangu kapata demu, of course ni mwanamke aliemzidi kwa takribani miaka 4, mshikaji ana 27 na mdada ana 31, sio shida kwake hilo...
Kiukweli kuna msichana ananipa wakati mgumu kwasababu ananiumiza lakini nikisema nimuache moyo wangu unashindwa na huwa napata wakati mgumu pale nimuonapo ushauri wenu wadau naona nikiendelea nae...
Humu jamvini tupo wengi sana, sasa ni vema tufahamiane kidogo ni mtu au kabila gani ungependa kuoa au kuolewa nalo hii itasaidia sana kwa wale wanaotafuta wake na waume.
Tuanze kufunguka kiroho...
Wana MMU habari zenu?
Kwa wote walio na umri wa miaka 18+ ni watu wazima hivyo wanaweza kua na uhusiano wa kimapenzi.
Mimi binafsi kuna kauli zinazonikela sana kwenye uhusiano yaani kauli hizi...
Hali zenu vipi
Kuna demu nimependa sana na pia ni mrembo sana nilijaribu kumweleza but yeye anacheka tu na kuniulia nitaaminije ila anacheka tu.
Sasa yeye akiniona tu niko na manzi anakuja...
Habari zenu
Kuna binti ni ndugu yetu tulimchukua baada ya wazazi wake wote kufariki, shule alikuwa hataki ada ya mtihani alikula so matokeo hayakutoka tukaona isiwe shida tumsaidie kwenda baraza...
But sometimes you have to let it go because we are not sure if our decisions are always perfect. Its the battle among the mind, the body, and the heart
Aina 10 ya vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa
Pamoja na matatizo mengine kutajwa kuchangia upungufu wa nguvu za kiume na kushuka kwa msisimko wa tendo miongoni mwa wanandoa...
Kina dada, kuna hii habari ilitokea couple of weeks ago across the pond nimejaribu ku samaraiz!, huyu dada alipata kipigo toka kwa bwana(proffesional football player) na akaendelea kukaa mpaka...
Hivi mpenzi wako akikukopa unampa?
Ushawahi, alikurudishia?
Kama akukurudishia ulimdaije? mimi nashauri tungekua tunatumia riba ili isicheleweshwe kurudishwa
Habari za wikiendi wadau.
Nina mpenzi Wangu kamaliza hedhi Siku ya Jana sasa yeye anataka tugegedane Leo.
Nimekuja kuomba ushauri kwa wanaofahamu ni baada ya muda gani baada ya mwanamke...
Tabia yangu hii ya kuwa natamani kila mwanamke mrembo, naichukulia kama ujinga wa hali ya juu nilionao,yaani huwa sipitwi, akionekana binti yeyote mrembo hasa aliyejazia makalio vyema, mrembo wa...
katika stori zitakazokutisha ukiwa mwanaume ni simulizi za machungu na maumivu ya tohara, ni nani jasri akikumbukaa ilivyokuwa kama anaweza kusema hata ingekuwa inarudiwa kila mwaka yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.