shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,441
- 3,613
Habari zenu
Kuna binti ni ndugu yetu tulimchukua baada ya wazazi wake wote kufariki, shule alikuwa hataki ada ya mtihani alikula so matokeo hayakutoka tukaona isiwe shida tumsaidie kwenda baraza kucheki ana zero so hawezi endelea tukasema atulie home then next year arudie tena manake muda ushaenda.
Kumbe ni mjazito na alikaa kimya bila kutuambia mpaka siku ya kujifungua na kwa vile home tulikuwa hatushindi naye mara nyingi ilikuwa vigumu kugundua sasa shida inakuja kuwa kashazaa tayari na tulipanga tusimuulize chochote kuhusu huyo mzazi mwenzie na yeye kakausha tu huku kila siku wakitumiana picha na hicho ki looser chake.
Sasa wasiwasi wetu huyu binti atatujazia timu ya mpira nyumbani kwani haonyeshi ku regret hata kidogo wala mpango wa kumtambulisha huyo mpenzi wake.
Naombeni ushauri tumchukulie hatua gani huyu binti.
NB: Tulifikiria tumrudishe kwenye nyumba ya wazazi wake na tumpe mtaji mdogo wa kupika vitafunwa ajitegemee hii imekaaje.