Mke/Mme wako unapenda awe kabila gani?

Mke/Mme wako unapenda awe kabila gani?

kuchangumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
724
Reaction score
290
Humu jamvini tupo wengi sana, sasa ni vema tufahamiane kidogo ni mtu au kabila gani ungependa kuoa au kuolewa nalo hii itasaidia sana kwa wale wanaotafuta wake na waume.

Tuanze kufunguka kiroho safi kabisa unapenda mke/mme au mchumba wako awe kabila gani?
 
Mimi nafunguka kiroho safi mke/mchumba au kichepuko changu ningefarijika sana kama nikimpata MSANDAWE! Nasikia ni watamu sana hawa
 
Kombe la dunia mwezi ujao na litafanyika night kali,chepuka kwa kabila lolote.
 
niko nafikiria ntaleta jibu msisahau kunishtua nikichelewa
 
mnyaturu au mnyiramba
ndio mpango mzima full maufundi kila sekta
 
Back
Top Bottom