Hahaha pole sana cutee Bee. Miss Nuru u will get 10 million from Mtemvu foundation, dada hii ndo tanzania yetu, education doesn't matter but what matters is whom u know hahaha!
Umenikumbusha mbalisana. Sikuhiyo nilikua nimeandaa barua laikini ilikua haina maandishi zaidi ya kapicha ka moyo kakuchura na nikachora na picha ya mkuki huku nikiwa nimeanidika jina la muhusika pale juu. Mbaya nikasahau hiyo barua kwenye daftari then nikalikusanya. Kilicho nipata sikuhiyo sikuwahi kusahau hadi leo hii nikama umenitonesha kidonda.
Owh thanks...mim huyo niliemwandikia barua enzi hizo alintendea mabaya mungu anajua japo hua najitahid kusahau ila n stor ndefu sipendagi kuyasema semA
Owh thanks...mim huyo niliemwandikia barua enzi hizo alintendea mabaya mungu anajua japo hua najitahid kusahau ila n stor ndefu sipendagi kuyasema semA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.