Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,851
Ni ndugu yangu huyu mwanamume, ilikuwa hivi.
Kuna baba mmoja anakaa maeneo huko walipo (Mombasa) Dar, wote Mume na mkewe Ofisi zao zipo posta mpya Dar, sasa jamaa (Mgoni) kila siku saa kumi anawapitia kwenda kazini (Kumbuka foleni za Dar) sasa Kumbe hyu mgoni anamla mke wa ndugu yangu kimya kimya.
Ilikuwaje?
Mke wake alimwambia shoga yake juu ya uhusiano wake na huyu mwenye gari, shoga akamwambia mume wake rafikiye, na akamwambia ukitaka uamini chukua simu ya mkeo ambayo huwa anaweka juu ya Kabati then uone kilichomo.
Kweli mwanaume akaja, kuangalia juu ya kabati cm hiyo, akaichukua, kumbe cm ina password, Mwenye mke akairudisha juu pale, akampigia mtonyaji wake cm, "simu ina password" shoga akamwambia ingiza kipe.....jamaa akaingiza, mara huyo Gallery, alichokiona ni aibu kubwa, mkewe kapiga na kupigwa picha akiwa uchi.
Kama bahati ya Mungu vile, mara "message" "kesho tukutane pale pale guest saa 9....aga kwamba unaenda kwenye kikundi chenu"
Mume akamjibu kuwa "sawa usichelewe my dear, I love you"-----Mgoni akajibu "I love you too my wife"
Mke kuingia ndani tu toka bafuni, akaitwa, kaa hapo, akakaa, huyu ni nani na unamahusiano gani naye?
Nataka nikupige leo mpaka usahau ulipotoka, (kumbuka mwanaume ni wa Musoma, mke ni wa iringa)
Mke akaanza kulia sana na kuomba msamaha sana....alipewa kibao kimoja tu mkojo ukaanza kuchuruzika.
Mume akamuuliza chagua kati ya mm au huyu Malaya wako, mke akajibu "wewe mume wangu".
Mume akaitumia hiyo fursa vizuri, akamwambia soma message hizi, kesho utatangulia kwenda guest hiyo then mimi nitakuwa nyuma nataka nimpe adabu...upo tayari? mke akakubali.
Kesho yake kila mmoja akajiandaa, mara jamaa akatuma sms baby upo wapi? Mume ndiye alikuwa na cm akamjibu nipo njiani nakuja baby (kumbuka mume ilibidi achukue cm zote mbili za mkewe.
Mume akavaa koti ndefu ndani kaweka panga.
Mke akafika guest ndani ya chumba walichozoea kuingia na ambacho alimwelekeza kwenye sms.
Dakika 7 baada ya mke kuingia chumbani mume akafika MAULIZO akapelekwa mlango ukagongwa, mke akaja kufungua.
Mume akachoma ndani hapo vulumai likaanza mgoni hapo hapo akatoa Milioni 1 akampa mwenye Mke
Mwenye mke akachukua akaweka mfukoni akampa kipigo kitakatifu bila huruma then akamuacha aende sasa home mke alianza kupokea kipigo kama kawaida.
Ila mke alisamehewa.
Tuwe Makini.