Kama masihara vile

Kama masihara vile

Mr Eggo

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
2,027
Reaction score
1,052
Wasalaam wana bodi ni matumaini yangu mu bukheri wa afya.

I remember it started early this year when my last relationship broke, naita last coz i never had another serious relationship ever since.

Nikajisemea mimi sasa ni wakati wa kufanya mambo ya msingi na kuachani na mahusiano serious from back then to now tayari nimekuwa na several dating ambazo kimsing i never meant for them to last and they never did.

What makes me kuandika thread kama haka katabia kanaota mizizi. Juzi kati nimekutana na binti mrembo kabisa, rangi zangu zile shule ipo and as far i can tell she looks serious the problem now is me we actually did it two times and to me it sound inatosha she has to go.

Najitahidi kumuonyesha niko serious na nataka niwe nae ila duuuh na_pretend kiasi kikubwa sana namuona kama kauzibe.

Najua kuna ambao watasema nimeathirika kisaikolojia trust me i know,but i wish for this trend to end so as i can make someone happy again.

Michango na uzoefu wenu kwenye hili ni muhimu
 
hivi neno serious ni gumu kuandika ??
 
Umechanganganya changanya lugha kama Miss TZ 2014, ebu pitia na uedit vizuri kwa lugha moja.
 
Hiki kiingereza wapelekee masharobalo wenzio wasome...mimi siwezi kusoma hiki...kwanza Napata shida sana na nachukua muda wangu mwingi kukisoma....
 
kukujua kwamba ni msosi ni vizuri kuwa na sentensi ambayo ina maana thabiti sio kuingiza kiingerza bila kujua una maanisha nini? me sijakuelewa kabisa
 
Wasalaam wana bodi ni matumaini yangu mu bukheri wa afya.

I remember it started early this year when my last relationship broke, naita last coz i never had another serious relationship ever since.

Nikajisemea mimi sasa ni wakati wa kufanya mambo ya msingi na kuachani na mahusiano serious from back then to now tayari nimekuwa na several dating ambazo kimsing i never meant for them to last and they never did.

What makes me kuandika thread kama haka katabia kanaota mizizi. Juzi kati nimekutana na binti mrembo kabisa, rangi zangu zile shule ipo and as far i can tell she looks serious the problem now is me we actually did it two times and to me it sound inatosha she has to go.

Najitahidi kumuonyesha niko serious na nataka niwe nae ila duuuh na_pretend kiasi kikubwa sana namuona kama kauzibe.

Najua kuna ambao watasema nimeathirika kisaikolojia trust me i know,but i wish for this trend to end so as i can make someone happy again.

Michango na uzoefu wenu kwenye hili ni muhimu

Nahisi kama nakufahamu vile, anyway kwanza futa hiyo kauli kwamba unataka kubadilika so that you can make some1 happy, dont do it for someone else kwani ukifanya hivyo wala hutakaa ubadilike bali do it for you, uruhusu moyo wako kuweza kupenda na kukubali kupendwa, kujali na kuwa happy
 
Ukishaandika vzr na mimi kuelewa ulichoandika nitakuja kutoa maoni yangu mkuu maana cjaelewa chcht kwakweli
 
Majibu unayo

Umekuwa affected na hyo tabia....

Trus me...usipobadirika sasahivi itaku cost utakapoamua kuwa na mtu serious
 
Nahisi kama nakufahamu vile, anyway kwanza futa hiyo kauli kwamba unataka kubadilika so that you can make some1 happy, dont do it for someone else kwani ukifanya hivyo wala hutakaa ubadilike bali do it for you, uruhusu moyo wako kuweza kupenda na kukubali kupendwa, kujali na kuwa happy

Hope you do!,,thanx anyway
 
mkuu ndo umeandika nini? Au ulishawahi kutumia aina fulani ya dawa za maradhi fulani hivi karibuni?
 
kukujua kwamba ni msosi ni vizuri kuwa na sentensi ambayo ina maana thabiti sio kuingiza kiingerza bila kujua una maanisha nini? me sijakuelewa kabisa

iv kama hujaelewa lazma u_comment ee!
 
u want to make some one happy? are you sure you can? someone happiness is in someone heart..
 
Daz guda kama umeshow interst kwa zat gal as far kana kwamba asije pretend umefalll total kweny lov kwa her...So kukushaur do kwel as long u a bon town au ok now dayz ...bze watt wa town wanaish kama vile wana act bongo moviez.......i wishi ningemiti n' u nikugiv tactz u weze mkoque taz dooo........NDO DAWA YENU.....
 
Back
Top Bottom