Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,360
Habari za hapa wadau?
Wadau nimekua mzito sana kusex na mke wa mtu. nikitambua tu ke nnaye date naye ni mke wa mtu namuacha na akijaribu kunifata fata anaweza akaniona fyonso! maana mineno nitakayo mwambia anaweza akahisi ilikuwa wrong number.
BUT kamsimamo hako hupungua makali kwa ke asieolewa but anaishi na m'me kama mke na mume. to be honest ke design hiyo humpotezea kimya kimya unless ukame umenikuta! maana hapo hujipa moyo wote tunazini tu.
AMA kwa yule ke mwenye mme tu neither mume nor kuishi naye kama mke na mume, hapo najigongea tu baridi barafu unless awe ke wa rafiki yangu. maana naamini hakuna mwanamke asie na mme.
And i believe ukikubaliwa jua kuna boya umeshampindua or mmekubaliwa nyote, si unajua tena wanawake wa leo waweza jitapa upekeo kumbe ummoja kati ya behewa tatu.
Hapa nina maswali mawili, moja kwa ke na jengine kwa me, please be honest kuna kitu natafuta hapa.
Ukijifanya mlokole utaniingiza chaka.
Swali la kwanza kwa me.
IVI HUWAGA UNAWAZA NINI UNAPOSEX NA MKE WA MTU AU KE ANAEISHI NA ME KAMA MKE NA MUME???? NA JEE HAUFIKIRII KWAMBA HALI HIYO HUENDA IKAKURUDIA PINDI UTAKAPOOA?
Swali la pili kwa mwanamke.
JEE INAKUAJE UNAMTU WAKO THEN UNAAMUA KUSEX NA ME MWENGINE?
Toa Hoja
NB: kuna watu sio waelewa. Ulokole ni theory tu no practise.