Mwanaume kwenda kwa shemeji kila siku

Mwanaume kwenda kwa shemeji kila siku

Hahahaaaaa! Dogo kuwen macho mnaweza kusema n shemeji yenu kumbe ni mme mwenza.
Usikute anakuja kuzima taa shaur yenu
 
tafuta namba mpya umwandikie sms ........ pengine anafurahia sauti ya dada yake usiku wakati anapindwa!"

Grand PA
 
Piga marufuku hakuna mwanaume kwenda kwako
 
Hahahaaaaa! Dogo kuwen macho mnaweza kusema n shemeji yenu kumbe ni mme mwenza.
Usikute anakuja kuzima taa shaur yenu

sio mme mwenza huyo kaka ni last born cjui ndo abajifanya ni mtoto maisha yote au nikupenda ubwete kuja kwa shem pake kila kitu anakuta mezani au? namshangaaga sana
 
Njia sahihi n.nyie kua nae chini mkamueleza anachofanya s sahihi sasa wenyewe mmekaa kimya yeye si anaona poa tu mzoesheni panya kula sufi
 
Kazi kweli kweli kwamimi muwazi ningemuweka chini nimpe ukweli wake.
 
Upweke.....

Ndio kinachompeleka kwa dada yake.....

Halafu kuna ubaya gani? Jamani chakula ni mavi tu.......

Ukitaka kumsaidia mshauri awe na kibiashara au kitu cha kumkeep busy

Ila kumbuka binadamu ni kama maua akiwepo unaweza sema la nini siku akipotea utajua umuhimu wake
 
Upweke.....

Ndio kinachompeleka kwa dada yake.....

Halafu kuna ubaya gani? Jamani chakula ni mavi tu.......

Ukitaka kumsaidia mshauri awe na kibiashara au kitu cha kumkeep busy

Ila kumbuka binadamu ni kama maua akiwepo unaweza sema la nini siku akipotea utajua umuhimu wake

hapa isue siio kuwa anaongeza burget au dadake hampendi laa hasha tuweni tu wakweli hivi inaleta picha nzuri jibaba nakitambi kushinda hapo kwa dada ? sio kwamba hayuko busy nimfanya kazi wa serikali(mwalimu) mmmh
 
Mwisho wa mwaka mwambie mnataka kwenda wote kwa wazazi uone kama wanamtambua...istoshe huyo ni mumumwenza
 
Na mpiga mikasi ya hatari mchana mchana ukikaa kwenye TV usikilizie na kelele za dada anavyolilia Tango linavyomgusa kunako.
 
Watu wengine husumbuliwa na laana, ni kama vile huwa hawajitambui...
 
Hahahaha.....kama mimi ndio huyo mme wa dada yake ningemtoa kaka out, nampeleka bar, alafu naaagiza viroba, wakati nakunywa naanza kusifia kazi ya viroba, namwambia dhahiri jinsi gani ninavyomplekeaga dada yake moto nikivinywa....hahaha, ukifanya hivyo mara mbili lazima akimbie.
 
Back
Top Bottom