Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,792
...
Habari Wana JF..:glasses-nerdy:
Mimi ni Gentlemen na ivi sasa nina miaka 22..
Cha ajabu ni kwamba hadi sasa sijavutiwa bado kuingia au kuanza mahusiano ya kimapenzi..
Remember,don't judge about URIJALI..I'm sure niko fiti na kila siku saa kumi na moja Jogoo lazima awike tena anawika kwa muda wa dk 30 na zaidi,..kuhusu ndoto nyevu ndo usiseme!!!,..mpaka sometimes inanbidi nibadilishe shuka.
Naombeni ushauri wenu Ndugu zangu,...Ni kwamba bado muda wangu kumpata niliyepangiwa na Muumba au mi mwenyewe ndo Mzembe.
Ilifikia hadi kipindi girls wakawa wananifata kuomba uhusiano na mimi but huwa sifill kuanza mahusiano.
So please wana Jf ushauri wenu ni w muhimu sana..na sijawahi kuwa kwenye mahusiano before!
Natanguliza shukrani:cool2:
It's me...
JF Best Member..!!
Tulia dogo, bola unahakika ni mzima utakapo jisikia utaingia. Mambo mengine sio ya kukimbilia
Habari Wana Jamiiforums.
Mimi ni Gentlemen na ivi sasa nina miaka 22.
Men ni wingi mkuu sema manReal gentlemen