Mwenzenu nusu nitembee na kaka yangu

Mwenzenu nusu nitembee na kaka yangu

belie

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2014
Posts
387
Reaction score
261
Hope u all fine.

Jaman wana MMU yamenikuta mwenzenu, juzi siku ya Nyerere day kulikua na event nyumbani, wakaja ndugu na jamaa, sasa kuna cousin yang ambaye tulishakutanaga siku za nyuma kwenye harusi ya kaka yetu mmoja hivi tukajikuta tunashangaana, upande wangu I was like woow! I met a man of my dream, nilimpenda kwa ufupi, after asking my sister ndo akaja niambia he is ur cousin.

Basi tukawa marafiki tu na ndugu ofcoz, sasa hii juzi alivyokuja tukawa pamoja kwa mda mrefu sana! it was my father's birthday tukawa tunahudumia vinywaji pamoja mpaka event ilivyoisha, nyumbani kuna kisehemu kimejificha ndani ya garden, kuna yale maua marefu so si rahisi mtu kukuona kwa usiku, nikabeba bia zangu za kutosha nikaenda kukaa pale.

Sijui aliniona au vipi nae akaja! hapo wazee wapo ndani wanapiga stori zao, basi tumekaa tunakunywa pale na stori tukajikuta tunakiss, sio siri jaman! I wish he wasn't my cousin, bahat nzuri hatukufanya chochote kingine, just touching en kissing nikajifanya nimeshtuka nkaondoka nikaingia ndani.

Sasa toka hiyo juzi ananipigia nashindwa kupokea wala kujibu msg zake! najifikiria nitaanzaje kumuangalia tukionana, japo yeye ameniomba msamaha kwa text na kusema it just a feelngs he has for me ndo mana imetokea hivyo, na the first day ameniona amenambia yale yale nilokua namfikiria mimi.

Si kwamba sikutaka itokee! ofcoz na mimi nampenda, ila kwa hii loneliness niliyokua nayo nahisi tutaelekea pabaya na ananambia nisipoongea nae about this atamwambia my sister how much he luv me na ikiwezekana my mom, yuko tayari aonekane chizi.

Nifanyeje jamani.
 
nyie watoto wa geti kali mnamatatizo sana

hey cousin hey cousin mara mmetafunana

by the way binamu nyama ya hamu

gawa papuchi hiyo
 
Sasa tukushauri nini? Ushasema ndugu yako jibu si liko wazi!!! Au unatafuta sababu ya kuuu....
 
sio mbaya mala moja moja mpaka hapo mtakapopata wenza wenu wa ukweli
Jipe raha mwenyewe atiii ya nini kujitafutia shida
kiufupi i wish ndo ungekuwa cousin wangu ningekung'ang'aniaje? oo sorry just kidding
 
mmmmhh kila kukicha afadhali ya jana kuliko ya leo..

Bora umuache aonekane chizi amwambie mama yako na dada yako ataona jibu atakalopewa...Ila wewe usipokee simu yake...Utajajutia mbeleni aibu utaiweka wapi...Kemea mapepo


hope u all fine.

jaman wana MMU yamenikuta mwenzenu, juzi siku ya nyerere day kulikua na event nyumban, wakaja ndugu na jamaa, sasa kuna cousin yang ambaye tulishakutanaga siku za nyuma kwenye harusi ya kaka yetu mmoja hivi tukajikuta tunashangaana, upande wangu I was like woow! I mate a man from my dream! nilimpenda kwa ufupi.... after asking my sister ndo akaja niambia he is ur cousin.

basi tukawa marafiki tu na ndugu ofcoz, sasa hii juzi alivyokuja tukawa pamoja kwa mda mrefu sana! it was my father's birthday.... tukawa tunahudumia vinywaj pamoja mpaka event ilivyoisha, nyumban kuna kisehemu kimejificha ndani ya garden, kuna yale maua marefu so si rahisi mtu kukuona kwa usiku, nikabeba bia zangu za kutosha nikaenda kukaa pale...

sijui alniona au vipi nae akaja! hapo wazee wapo ndani wanapiga stori zao, basi tumekaa tunakunywa pale na stori tukajikuta tunakiss, sio siri jaman! I wish he wasn't my cousin, bahat nzuri hatukufanya chochote kingine, just touching en kissing nikajifanya nimeshtuka nkaondoka nikaingia ndani.

sasa toka hiyo juzi ananipigia nashindwa kupokea wala kujibu msg zake! najifikiria nitaanzaje kumuangalia tukionana, japo yeye ameniomba msamaha kwa text na kusema it just a feelngs he has for me ndo mana imetokea hivyo, na the first day ameniona amenambia yale yale nilokua namfikiria mimi!!

si kwamba sikutaka itokee! ofcoz na mimi nampenda, ila kwa hii loneliness niliyokua nayo.... nahisi tutaelekea pabaya.... na ananambia nisipoongea nae about this atamwambia my sister how much he luv me na ikiwezekana my mom, yuko tayari aonekane chizi

nifanyeje jamani....
 
Huyo si binamu yako...!
mtoto wa mjomba au shangazi..?
au mtoto wa mjomba kwa babu mwingine?
Au mtoto wa shangazi kwa bibi wa bibi wa shangazi yenu?
Mie naona sawa tu mbona...!
 
Watu mna roho ngumu jaman! Yani umeshaambiwa ni cousin lakini bado tu mkalana mate na unaomba ridhaa ukamvulie kyupi! Au ndo binam nyama ya hamu! Hilo pepo tamaa lishindwe.
 
Unatuuliza kama umpe papuchi au usimpe sio
nop, is nat about papuchi, ye anachotaka tuwe kama zamani, kwamba nothing happened. hilo sikatai, ila nataka nipunguze mawasiliano nae, au niache kabisa coz kuna mdog wake anashikaga sim yake akakuta msg akamuonyesha mama ake! so is like washaanza kujua ndugu, na mi sitaki kuwekwa kwenye vikao vya kijinga ndo nawaomben ushauri...
 
Back
Top Bottom