Kadri mwaka unavyoenda kuisha na mwaka mwingine kufunguka, najua wapo ambao wameshapanga vijisafari safari vya London, Paris, Cape Town, na kwingineko huko mbele mbele. Wengine, japo vya...
Kuna mdada mmoja nimezoena nae kwa mwaka sasa na tumekuwa na mawasiliano ya karibu sana.
Sikuwa namjua dada huyo ila baada ya kufika kazini kwake na kuhudumiwa nilijikuta navutiwa kuwa nae...
Hivi inakuwaje, Mara zote kama sio nyingi, Mwanaume/wanaume tunapoongea na wapenzi wetu/wake zetu, huwa tunaongea kwa Hasira sana, Mpenzi akiuliza "Upo wapi? Mtu anajibu.. "Unataka niwe wapi...
Wakuu za muda huu
Wakuu inapita km mwezi sasa toka nipate rafiki huyu mpya kwenye mtandao....ilikuwa hivi niliweka tangazo lakuuza gari kwenye mtandao wa Instagram pia nikaambatanisha na Namba...
Kama unataka kuongeza viungo au mchangamko kwenye maisha yako ya kimapenzi ingia jikoni na hakikisha una vyakula kama hivi.
Oysters (Samaki Gamba): These shellfish have been considered and erotic...
Hivi hilo neno hapo juu, unamwambia jinsia nyingine kabla au baada ya kugegedana?
Mimi huwa nawaambia "u know, just for fun", msinicheke jamani, au nakosea nini? maana wengi...
1 Mwanaume asiye msikivu
Mwanamke anajaribu kumweleza jambo lakini anakimbilia kujieleza bila kusikiliza au kujitetea kabla kusikiliza au kujifanya anajua mwanamke anataka kusema nini na...
Wakati nikiwa chuoni, siku moja mwalimu wangu wa Family Law alikuja darasani, akiwa anafundisha, alitueleza kuwa, "Unaona hata hapa chuoni, watu wanaokunywa pombe, wanaovuta sigara, na kuvaa...
Wengi wetu tumeshawahi kuwaona vibibi vya kizungu vikiwa vinazunguka na vijana wa kimasai wenye lubega hasa sehemu za beach (hasa Zanzibar & Dar es Salaam, au Arusha na kwingineko.
Kiukweli huwa...
Hi wadau. Hili swala la mapenzi liko tofauti kidogo, Hakuna perfect person ila muhimu nikuangalia ni mtu gani mko na common interset ilo ndio muhimu, so dad na kaka zangu usijidanganye ukatafuta...
Tabia ya huyu dada wa mchumba wangu kunipelekesha kama gari bovu itasababisha mapenzi na ndugu yake yafe kwani imeshakuwa kero.
Anavyopiga simu utadhani yeye ndo mchumba wangu.
Mara utasikia...
Habari wanajukwaa,
Kijana wenu nimerudi tena kuomba ushauri kuhusu hili suala linalonitatiza na kunivuruga kichwa kwa zaidi ya mwezi mzima.
Wakati nipo chuo nilikuwa nna mahusiano na msichana...
Mwenzenu jamani nahisi nmechakachuliwa,nina mke wangu tumezaa watoto wawili mmoja yuko na miaka mitano na wa pili miwili,kati yetu mimi na mke wangu nahisi kuna kitu kinaendelea na nimefanya...
Mimi ni kijana Mtanzania naishi Dar umri 28 natafuta mpenzi wakike mwenye kujitambua na mapenzi ya kweli awe muislam ajue dini hata kidogo.
Umri18-23
Natakae weza funga nae ndoa siku zijazo...
Wana jukwaa nilikuwa na mchumba ambae nilijua baadae atakuwa mama matoto wangu hivyo kulazimika kuingia garama ikiwemo kusomesha na huduma nyingine.
Wakati bado tuko wapenzi nilijaribu kumpa...
Kama kuna mwanaume atapingana na hali hii huyo sio.
Mwanamke anavutia, anatamanisha, analeta raha na anapendeza kwa macho ya mwanaume. Nadhani aliemuumba mwanamke alifanya makusudi maalium. Mimi...
Nilikuwa nimeboreka leo katika kutafuta channel ya kuangalia nikakuta kipindi cha channel ten kinaitwa NYOTA YAKO cha saa nne usiku. Wanaongelea nyota mbali mbali na maelezo yake kimapenzi.
Mimi...
Mapenzi ya Kibongo ni ya aina yake duniani, hivyo nimeona leo nitoe somo ili kuwasaidia mayanki namna ya kuishi kwa furaha katika mapenzi ya Kibongo.
Kwanza mapenzi ya Kibongo hayashughuliki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.