Wanaume tujitetee katika hili

Wanaume tujitetee katika hili

Noel 2014

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2014
Posts
718
Reaction score
292
Hivi inakuwaje, Mara zote kama sio nyingi, Mwanaume/wanaume tunapoongea na wapenzi wetu/wake zetu, huwa tunaongea kwa Hasira sana, Mpenzi akiuliza "Upo wapi? Mtu anajibu.. "Unataka niwe wapi? Yaani tunajibu kwa ghadhabu kweli kweli.

Sasa Ngoja "Mchepuko" Upige simu, hata kama swali ni la kizushi, Utajibu kwa Upole na kwa kubembeleza.. " Nipo Ofisini Mama, nikitoka nitapita kukucheki sweetie ".

Swali, ni kwa nini tuna behave like that? Kwanini wanaume tunakuwa wakali sana kwa wake zetu, na tunakuwa wapole sanaaa kwa Michepuko?

What's the secret behind such attitude?
 
Ipo hiyo na ndivyo inavyotakiwa tatizo unashindwa kutofautisha wawili hao ! Vitabu vyote vya dini vinampa mwananmke daraja ya pili kwa maana Mume ndio amiri jeshi Mkuu ,utawala ,sasa huoni unapo jibu Unataka niwe wapi kwamba jibu hilo ni lovely kuliko kujibu nipo sokoni ? Just uongeze Unataka niwepo wapi ewe my blood ! Hapo tena maongezi yananoga zaidi ,ila ukikatisha unataka niwepo wapi , hapo unakuwa unaamsha hasira na mawazo ,unajua wanawake wako na hasira za kujuta,yaani ghafla from nowhere anakurupuka na hasira. ila ndivyo walivyo ,unaweza kusema wana akili za samaki ili uwazoee !
 
Hivi inakuwaje, Mara zote kama sio nyingi, Mwanaume/wanaume tunapoongea na wapenzi wetu/wake zetu, huwa tunaongea kwa Hasira sana, Mpenzi akiuliza "Upo wapi? Mtu anajibu.. "Unataka niwe wapi? Yaani tunajibu kwa ghadhabu kweli kweli...

Sasa Ngoja "Mchepuko" Upige simu, hata kama swali ni la kizushi, Utajibu kwa Upole na kwa kubembeleza.. " Nipo Ofisini Mama, nikitoka nitapita kukucheki sweetie "...

Swali, ni kwa nini tuna behave like that? Kwann wanaume tunakuwa wakali sana kwa wake zetu, na tunakuwa wapole sanaaa kwa Michepuko????? What's the secret behind such attitude?

Ukioa mke uliepangiwa na MUNGU kamwe hutamdharau wala yeye hatakudharau,mtaheshimiana na kupendana sana siku zote na nyote hamtaona sababu za michepuko,lakini watu wengi hubeba wake/waume wasiokua wakwao kwa matamanio tofauti tofauti ya kimaumbile au fedha,na mkisha kaa kwa muda ule uhalisia unakuja na unaanza kuona ulienae hakufai,hilo tu ndilo linaloweza kusababisha haya uliyosema...
 
Mi akiniulizaga namie namjibugu ' niko nalewa bar' hata kama saa tatu asubuhi nyambaf
 
Ukiwa na mchepuko,lazima utakuwa mkali/jeuri kwa mkeo!Dawa ni KUBAKI NJIA KUU
 
mrudie Mungu
acha kumtesa mke wako

Nimejivika uhusika tuu, ili nisionekane nashambulia mtu. Mimi sifanyi hayo, ila nimeshuhudia marafiki zangu wengi wakiwajibu kwa ghadhabu wapenzi wao, na kuwabembeleza Michepuko yao...

Ila asante.
 
Hapana labda wanaume wachache sana....mfano Mimi hapana....
 
Ukioa mke uliepangiwa na MUNGU kamwe hutamdharau wala yeye hatakudharau,mtaheshimiana na kupendana sana siku zote na nyote hamtaona sababu za michepuko,lakini watu wengi hubeba wake/waume wasiokua wakwao kwa matamanio tofauti tofauti ya kimaumbile au fedha,na mkisha kaa kwa muda ule uhalisia unakuja na unaanza kuona ulienae hakufai,hilo tu ndilo linaloweza kusababisha haya uliyosema...

Nakubaliana na ww Mkuu, Leo kwenye dala dala jamaa alikuwa anamfokea kinoma mke wake, alienda kusalimia nyumbani kwa wazazi na watoto, sasa mke kampigia jamaa kumuomba warudi kesho... Ni Noma. Yaaaani, after kama 15mnts baada ya simu ya Mke wake jamaa...

Ikaingia simu nyingine, ambayo ni ya mpango wa kando.. Jamaa alikuwa anabembeleza mpaka ikabidi nimuulize, Mkeo ni yupi kati ya hao wawili uliongea nao... Hakujibu, akawa anacheka.

Nikajiuliza sana. Kwann kwa Mke tunakuwa wakorofi kiasi hiki na michepuko ina take advantage????
 
Ukiwa na mchepuko,lazima utakuwa mkali/jeuri kwa mkeo!Dawa ni KUBAKI NJIA KUU

Sasa.. Wanasema njia kuu yako, ndio Mchepuko wa wenzio. Utavumilia wenzako wamchepukie mkeo wewe umetulia tuu....
 
Nimejivika uhusika tuu, ili nisionekane nashambulia mtu. Mimi sifanyi hayo, ila nimeshuhudia marafiki zangu wengi wakiwajibu kwa ghadhabu wapenzi wao, na kuwabembeleza Michepuko yao...

Ila asante.

Kwa iyo kule kwenye posts za "NAOMBA USHAURI WA KISAIKOLOJIA JUU YA MAISHA YANGU" NA "I HAVE ACCOMPLISHED NOTHING" ulijivisha uhusika wa nani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom