Shemeji yangu atanivunjia penzi langu

Shemeji yangu atanivunjia penzi langu

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,057
Reaction score
1,868
Tabia ya huyu dada wa mchumba wangu kunipelekesha kama gari bovu itasababisha mapenzi na ndugu yake yafe kwani imeshakuwa kero.

Anavyopiga simu utadhani yeye ndo mchumba wangu.

Mara utasikia niletee chips mara uko wapi na wafanya nini? mara hebu njoo hapa nyumbani mara moja na usipoenda kosa utasikia waringa sana au wewe wajishaua nini.

Leo nilikuwa naongea na ndugu yake akajua nimekata simu akaanza kuropoka anamwambia ndugu yake tatizo wewe wamchekea sana uyo X wako kwana mwambie mimi nina hamu na chips na soda.

Kwa tabia hii kama nikimuoa ndugu yake si atanipelekesha mpaka basi.kwa kweli mdogo wake hana tatizo lolote tatizo lipo kwa huyu ndugu yake.
nimechoka.

ushauri please.
 
He he, sasa unangoja nini kumpa mambo kama Mdogo wake? Atatulia tu.
 
Ushonekana mume -----. Utapelekeshwaje mpaka uagizwe chips mtu mzima wewe. you have to be a man enough!!
 
wewe mwenyewe hujielewi. kwanza utaanzaje kuwasiliana ovyo na mtu usiyekuwa na urafiki naye?

kwani ukimgomea ataenda kuingia kwenye papuchi ya demu wako ikaziba?
kwa mfumo huu utanyanyaswa sana, ni sawa na kaka yangu kuanza kumtumikisha mke wangu!! huu upuuzi siwezi kuuvumilia
 
I wonder kapataje namba yako??? Halaf anakujiaje juu wakat yeye ni shemeji??? Ila.umekosea sana kufanywa ----- maana ukiambiwa leta hiki unaleta kile unaleta mwisho wa siku utaambiwa kula kinyesi pia utakula

Cc. Mafikizolo
 
Last edited by a moderator:
Mtumikie kafir upate mradi wako...........
 
Huna kazi??????? anawezaje kukutuma namna hio????? oooooooh! mariooo!!
 
As a man you have to be strong and firm.....akikutuma tena kataa anatake advantage ya upole wako
......
 
mapenzi ya kitoto hayo, tena ya form two D, yaani wewe na yeye hamjitambui... Yeye analala kwao anakupigia simu fanya haraka wee nya.u niletee chips kuku, soda 2 na azam juice kubwa ya baridi,.. Hatari hiyo.. r
 
Aseeee mimi akiniambia hivyo kama tupo face 2 face jicho ntakalomuangalia atajuta kunijua mfyuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Kama huna dollari na dem ndo anakuweka mjini kutumwa ni sawa! Adawaizi we ni mbululaz in le mutuz voice!!
 
Back
Top Bottom