Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Wakati nikiwa chuoni, siku moja mwalimu wangu wa Family Law alikuja darasani, akiwa anafundisha, alitueleza kuwa, "Unaona hata hapa chuoni, watu wanaokunywa pombe, wanaovuta sigara, na kuvaa kihunihuni ndio mabinti wanaowataka na kuwapenda, lakini wale ambao ni smart na hawavuti sigara na pombe hawanywi mabinti hawawataki".
Nimeona leo tujadili hili swala, ni kwa nini mabinti wengi wakiwa vyuoni hupenda sana kutoka na wanaume hawa?
Nimeona leo tujadili hili swala, ni kwa nini mabinti wengi wakiwa vyuoni hupenda sana kutoka na wanaume hawa?