Vibibi vya kizungu & vijana wa kimasai

Vibibi vya kizungu & vijana wa kimasai

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,842
Reaction score
3,924
Wengi wetu tumeshawahi kuwaona vibibi vya kizungu vikiwa vinazunguka na vijana wa kimasai wenye lubega hasa sehemu za beach (hasa Zanzibar & Dar es Salaam, au Arusha na kwingineko.

Kiukweli huwa najiuliza hivi hawa ndugu zetu wamasai huwa wanajisikiaje kuongozana na vibibi vile? au ndo uvivu wa kufanya kazi basi hudhani vibibi vitawatoa kimaisha?

Nyie Vijana wa kimasai achene uvivu mkafikiri kuna short-cut ya maisha mtakuja KUOLEWA oooh!

KWANI LAZIMA WOTE TUISHI MJINI JAMANI
 
Do you my ninja.

Pilipili ya shamba yakuwashiani?
 
Kama ilivyo vijana wanaoenda BIG BROTHER (BBA) kuuza utu wao kwa kupigwa picha za utupu wakiwa wanaoga na wengine (Laveda) akijipiga punyeto hadharani. Vijana wa kimasai nao wanayo haki ya kutafuta pesa kokote ikiwemo kutoka kwa "VIBIBI/VIBABU"
 
............hakuna anayepinga mtizamo wako,lakini, maisha wanayochagua vijana hawa, yanakuhusu nini!!! :cool2:
 
Mjini akili, kila mja na namna yake ya kutafuta riziki, ili mradi havunji sheria.
 
Vibibi wanakuja na lengo la sex tourism.....hakuna jipya. Its give and take!
 
Back
Top Bottom