Hi wana MMU
I hope wote mko sawa kabisa ni siku nyingine tena tunakutana katika hot talk kuongelea changamoto zinawakabili single ladies and gents kuelekea katika taasisi ya NDOA.
Ndoto zao...
Wasalamu
Kuna binamu yangu yupo Dar jana alinipigia simu kunisalimia, hajaoa, ila ana miaka 33 sasa, na bado hajapata kazi lakini anaishi Dar, na amepanga, usiniulize anaishije kwani hata miye...
1. Spend no more than 40 dollars on a date.
* You worked hard for it and you should keep it. Spending more won't get you laid anyway. Optimally you should set up an after dinner date for...
Kuna majina mengi huwa wanapewa wanawake ,wakati mwengine wenyewe kwa wenyewe huitana hivyo ,niyajuayo japo maana yake kwa kweli hadi leo sijaijua ,nimonimo tu,pangu pakavu tia mchuzhi ...
Jamani nafsi inaniuma kila siku kwa yanayomkumba rafiki yangu, zamani baby nyingi, mwanaume anamtungia mwanamke uongo aende akalale kwake.
Kinga hataki eti me siwezi kutumia kinga kwako leo...
Mwanamke unaingia mahusiano na mwanaume, baada ya kumfahamu kwa mwezi kama mmoja hivi, unatambua kuwa yeye anafanya kazi fulani. Hadi kufikia muda mnakutana, ana miaka kama 5 hivi tangu aanze...
Kwa nini sisi waafrika huwa tunaona uoga kuwaambia wazazi wetu tunawapenda? KAtika video hii, wanaume wa Kenya waambiwa kuwapigia wazazi wao simu na kuwaambia eti wanawapenda. Hebu tazama.
Habari za hapa wadau?
Nakumbuka nilikua na mpenzi (mrembo) niliedumu naye kwa mwaka mmoja, ilifikia kunifosi niishi naye magetoni kama mke na mume, sikuafiki hilo! kwani nilihitaji kuwa huru ile...
Jamani nipongezeni kwa hili, nilikuwa na uhusiano na wanawake watatu hivi.
Kila kukicha huyu analeta invoice ya matatizo yake, mara kuwapigia simu wote.
Huku utume vocha, nilikonda jamani eti...
habari jamani. kuna kaka apa mtaani kahamsha watu usiku huu.kampiga mkewake mbaka kamvunja vidole vitatu vya mkono. kisa ajakuta chakula na asubuhi kaondoka ajaacha ata sh.kumi na ana watoto...
Inasikitisha sana hapa MMU pamejitokeza watafiti fake ambao hata maisha yao binafsi hawana uwezo wa kuyafanyia research na wahanga wa watafiti hawa uchwara bin magumashi ni single mothers...
Hi wana forum ninahitaji sana ushauri nipo kwenye wakati mgumu na sijui cha kufanya. Mimi ni mama wa watoto watatu nimeolewa mtoto wangu wa tatu anaumri wa miezi miwili sasa.
Nina mume na...
Habari zenu mabibi na mabwana.
Wanawake walio wengi ambao nilijaribu au niladate hawakupenda the fact kuwa am the first born and nina wadogo zangu sita, kuna ambao niliowaambia kuhusu my family...
Unajua wazungu huwa siwaaminiamini,mwanzo walisema sayari ziko tisa sasa wanasema ziko nane na tunakubali.
Tukija kwenye ndoa agano la kale linaongelea ndoa ya wake wengi ila agano jipya linasema...
Leo nilikuwa sijisikii fresh so sikutoka home, jioni hii nimetoka kunyoosha miguu nikaamua kumtembelea best yangu ambae tunaishi jirani.
Kufika nikakuta anachoma vitu nguo, picha na vinginevyo...
Hi guys.
For quite sometime now mimi nimekuwa msomaji wa mada nyingi kwenye hili jukwaa na nimekua nikipendezwa na busara za members na nikadhani na mimi pia naweza saidiwa walau mawazo tu kwa...
Nina mwanaume tumekaa mwaka wa 5 huu na sasa nina ujauzito miezi mitatu.
Tatizo lake amekuwa akinisaliti kila mara ana wanawake kama 6 hivi tofauti na kibaya zaidi anataka tuanze kuishi wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.