Unajua kitu kinaitwa universe. Hii kitu ni complex sana. Solar system au mfumo wa jua ni sehemu ya universe. Ndo chanzo cha nguvu zote duniani. Dunia ni moja ya sayari katika universe.
Kama tunavyojua dunia ina mizunguko tofauti tofauti hali inayofanya dunia kuwa katika nafasinau angle tofauti tofauti na sayari nyingine likiwamo jua lenyewe.
Katika position tofauti tofauti za dunia, hali ya hewa tofauti tofauti hupatikana, ndo maana tuna majira tofauti kwa mwaka kama masika, kiangazi, kipupwe n.k. Tofauti hizi haziishii kwenye misimuu ya majira tu bali hata binadamu na viumbe vyote huathirika kwa namna tofauti tofauti. Hii ni kutokana na mabadiliko ya nguvu ya uvutano ya ddunia. So wanasayansi ya asilu waligundua kuwa tabia za mtu zinaathiriwa na position ya dunia katika solar system pale anapozaliwa. Hivyo wakaweza kugauge position za wa dunia kwa mwaka mzima jan to dec na kumechisha na tabia za watu waliozaliwa katika kipindi husika.
Wanasaikolojia wame prove kuwa kuna ukweli wa tabia za watu kutokana na nyota zao.
Hii kitu ina ukweli mkubwa sana. Mimi imenisaidia kujitambua na kuishi na watu vizuri. Maana nikijua mtu kazaliwa lini naweza kujua tabia zake na namna ya kuishi naye. Ni elimu muhimu kuwa nayo. Wala haina uhusiano na waganga au wapiga ramli ingawa na wao wanaitumia kwa namna wanavyojua.
Mashauri tu tumia elimu ya nyota kwa kujitambua, kujua stregth na weakneses zako.na watu wanaokuzunguka kama mke au mume n.k