Tabia ya rafiki mpya inanitia mashaka

Tabia ya rafiki mpya inanitia mashaka

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Wakuu za muda huu

Wakuu inapita km mwezi sasa toka nipate rafiki huyu mpya kwenye mtandao....ilikuwa hivi niliweka tangazo lakuuza gari kwenye mtandao wa Instagram pia nikaambatanisha na Namba yangu ya simu..nikapata Call nying tu..ila kuna moja akinipigia hakuwa mnunuzi yy alinipa Hi tu naakajitambulisha bs ikapita hvo

sasa wiki mbili zilizopita alikuwa.anantumia msg whtsapp zakunisalimia na kunipigisha story ukwel sikuwa nimemzoea hata kumjb haikuwa kihvyo ...mara akaanza kuntumia picha ukwel nikashangaa..unaanzaje kumtumia mwanaume mwenzko picha..bs nikanpotezea...usiku anapiga simu anachoongea hakieleweki.

Sasa leo nimestaajabu ya musa..kantumia Msg et "I miss you my Friend""

Wakuu hivi unaanzaje kumuambia mwanaume mwenzako i miss you

Asije kuwa chakula huyu

ntamuepuka vipi...Huyu rafiki
 
au mkuu usikute unataka kutuomba ruhusa kiujanja,
we kama humwogopi mungu gonga hiyo
shadr at el munya.
 
Wakuu za muda huu

Wakuu inapita km mwezi sasa toka nipate rafiki huyu mpya kwenye mtandao....ilikuwa hivi niliweka tangazo lakuuza gari kwenye mtandao wa Instagram pia nikaambatanisha na Namba yangu ya simu..nikapata Call nying tu..ila kuna moja akinipigia hakuwa mnunuzi yy alinipa Hi tu naakajitambulisha bs ikapita hvo

sasa wiki mbili zilizopita alikuwa.anantumia msg whtsapp zakunisalimia na kunipigisha story ukwel sikuwa nimemzoea hata kumjb haikuwa kihvyo ...mara akaanza kuntumia picha ukwel nikashangaa..unaanzaje kumtumia mwanaume mwenzko picha..bs nikanpotezea...usiku anapiga simu anachoongea hakieleweki.

Sasa leo nimestaajabu ya musa..kantumia Msg et "I miss you my Friend""

Wakuu hivi unaanzaje kumuambia mwanaume mwenzako i miss you

Asije kuwa chakula huyu

ntamuepuka vipi...Huyu rafiki

Nilitaka kusema una bahati, kumbe dume!! Mpe makavu live.
 
Kata mawasiliano nae. Lengo ilikuwa ni biashara, kama hakuwa kibiashara mwisho wake umeishia hapo. Just frankly tell him, "ndugu namba yangu niliweka kwa ajili ya biashara na kwa kuwa biashara imeshafanyika, am sorry that siwezi endeleza mawasiliano nawe. All the best"
 
Kwa kuwa huna wajibu wa kuwasiliana naye wala kumjibu, na kwa kuwa huwajibiki kwa yeyote kwa kutowasiliana naye au vinginevyo, sioni cha kigumu apo mzee. ''But curiosity killed that cat''
Wakuu za muda huu
ntamuepuka vipi...Huyu rafiki
 
Back
Top Bottom