Natafuta girlfriend anayejiheshimu na mkweli

Natafuta girlfriend anayejiheshimu na mkweli

shabaan Dogo

Senior Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
196
Reaction score
82
Mimi ni kijana Mtanzania naishi Dar umri 28 natafuta mpenzi wakike mwenye kujitambua na mapenzi ya kweli awe muislam ajue dini hata kidogo.

Umri18-23
Natakae weza funga nae ndoa siku zijazo tuwasiliane kupitia pm

0689251011/0766755508.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Unatumia kipimo gani kujua anajua mapenz??
 
mambo ya kuanika namba za simu hapa itaja kucost shaulilo
 
Hivi ni kweli humu watu huanzisha mahusiano had kufika ndoa????interesting
 
"umri18-23" Kibongobongo hao bado wapo madarasani acha watoto wa kike wasome waweze kujitegemea :wink1:
 
mambo ya kuanika namba za simu hapa itaja kucost shaulilo

ngoja na mimi niweke zangu aisee, maana labda naweza pigiwa, teh teh, ila mimi naamini hao ni watu wazima, ambao bado ni watoto maana nahisi utosi wao bado unadunda.
 
Yab uyu mleta huu uzi ni kama watatu na ni iviivi yan watu skiz cjui wanaichukulieje jf
agrrrrh, mtu miaka zaidi ya ishirini na tano yupo yupo tu, bado anahangaika kutafuta mwanamke kwenye mitandao, af wengi ni wanaume, sjui kwa nini?!!!!
 
Mimi ni kijana Mtanzania naishi Dar umri 28 natafuta mpenzi wakike mwenye kujitambua na mapenzi ya kweli awe muislam ajue dini hata kidogo.

Umri18-23
Natakae weza funga nae ndoa siku zijazo tuwasiliane kupitia pm

0689251011/0766755508.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

mkuu umejiunga JF kwa ajili hii tu???
 
Mimi nikijana mtanzania naishi dar nipo singule umri 28 natafuta girlfriend anae jitambua na kujiheshim awe muislam na mkweli na muaminifu mungu akipenda tufunge pingu za maisha naomba tuwasiliane kwa pm 0689251011 /0766755508

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Karibu sana kwa jamii ya warembo wetu mkuu...
 
hauta owa mke wa pili?maana wengi hawapendi kushare penzi.embu jieleze
 
Mimi nikijana mtanzania naishi dar nipo singule umri 28 natafuta girlfriend anae jitambua na kujiheshim awe muislam na mkweli na muaminifu mungu akipenda tufunge pingu za maisha naomba tuwasiliane kwa pm 0689251011 /0766755508

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mkuu SINGULE ndio nini eeh? Sijakuelewa hapo nisije kurupuka kumbe unamaana nyengine, naomba muongozo mkuu ...
 
kudadadeki hadi leo hujapata dem....!!!!
mvumilivu hula mbivu ila wewe utakula mbovu shemeji
 
Kwa bongo hapa sijuwi kwani karibu ya wengi wao ni majinamizi ya talaka na wasanii. Ukiona vipi toka nje ya nchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom