Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Sijawahi kuona mtoto wa kike aliependeza kama wewe. Hapo mdada anazugika na kuamini kuwa ni yeye tu.
Naamini wengine hapa ukiwasifu avatar zao tu unaweza ukawachanganya akili ,maana wameziweka eti waonekane warembo ,ila kusema kweli wote wameweka avatar za kunipelekesha moyo wangu mbio, wanavutia si haba.
Okay the main pwoint ni kuhusu maneno ya kuwachanganya akili wadada, kuna mistari huwalegeza ikayababaisha macho yao ,na hapo hujiona ndio yeye tu katika dunia hii anaependwa.
Hivi wadada mnapotongozwa inakuwaje mpaka mnakubali? Unaingiajeingiaje kwenye kamba za maneno? Msiniambie kuwa mambo mkiyataka na hilo kukupelekea kulikubali kila unaloambiwa ,yaani hata ukihoji unapata jibu linalopendeza ambalo linazidi kukulainisha kuyakubali maombi ,mwisho ukiambiwa haya twende basi unakuwa kama msukule.
Siwaelewi, nikukwambia embu simama kidogo unasita sita kisha unasimama,something like that.