Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna Kisa kimoja nataka niwashirikishe. Mkabala na Nyumba niliyohamia hivi karibuni baba mwenye nyumba alifariki dunia, baba huyu aliacha mke na watoto kadhaa, aliacha na mali zikiwemo Nyumba...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
"Hata sisi wanawake wafupi hatupendi wanaume wafupi"
0 Reactions
54 Replies
8K Views
Usimuamini bwana au bibi anaejifanya eti ana uhusiano wa karibu na aliyekuwa ex-boyfriend au girlfriend. Wabaya sana hawa watu kwa asilimia 90% kuendeleza mawasiliano ya karibu. Usimuamini bibi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Tarehe kama ya leo mwezi kama huu, huyu msichana alitukana na kuapia Miungu yote kuwa hatujui na wala hajawahi kutuona maishani mwake(msichana huyu alikuwa mpenzi wa rafiki yangu). Wacha jamaa...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Wakati wewe uko busy kusaka demu mwenye TRUE LOVE, huyo mwenye True Love na yeye yuko bize kusaka mwanaume mwenye TRUE MONEY. Zama zimebadilika sana,zile biashara za Kusaka True Love ukiwa Kapuku...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Nilikuwa na mpenzi kwa muda wa miaka miwili lakini alikuwa haniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu? Akajibu nina msichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo...
2 Reactions
230 Replies
22K Views
Ulaji wa supu ya pweza,karanga mbichi,mihogo mibichi na mbata kwa madai kwamba vinaongeza urijali kwa wanaume kumeelezwa kuwa ni dhana potofu inayostahili kupigwa vita kwa kuwa haina uhusiano...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
I thanks God for you my dear to get another year ....I love u and God protect you for remaining years .. live long Gemmy. HAPPY BIRTHDAY TO YOU GEMMY
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Hii kitu huwa inatokea wandugu,lakini ushawahi kupata picha ikikutokea wewe? Imagine watu mnapanga maisha mnaitisha vikao vya harusi mwisho wa siku mnafika kanisani mchungaji anauliza je Lala1...
1 Reactions
83 Replies
7K Views
Natafuta mwanamke aliyetayari kuingia kwenye ndoa, aliyeserious tu ndye atakayejibiwa. awe na sifa zifuatazo; mwenye umri kuanzia 24 mpaka 32. awe na elimu angalau ya sekondari. aliyeajiliwa...
0 Reactions
108 Replies
8K Views
Darasa lolote lile (hasa vyuoni) lazima liwe na wanafunzi wafuatao: 1. Mwizi/ mdokozi. 2. Playboy/playgirl. Hawezi kutembea na msichana/mvulana mmoja mara mbili. 3. Group ya marafiki watatu...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Hapo Palikuwa Wasichana Wawili Walikuwa Wakiishi Na Wazee ,Mama, Baba, Jana Lake Asha Na Rose. Siku Moja Wakiwa Wakitoka Mjini Kwenda Walikutana Na Mkaka Mmoja Aitwae Salumu, Wewe
0 Reactions
11 Replies
14K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea,mimi ni ke. Natafuta rafki wa kiume,awe na umri wa miaka 33-38,mkristu na mwenye hofu ya Mungu.Aliye tayari karibu.
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Wadau wenza, wanaume wenzangu . Mke wangu mie haka ka'ugonjwa kamesha muathiri, kiasi naona tiba imeshindikana! Ugonjwa wake: Akienda na Mswaki bafuni/chooni ataucha hukohuko. Akifungua chupa...
13 Reactions
202 Replies
27K Views
Takribani wanawake 1500 hufariki dunia kila mwaka kutokana na utoaji mimba usio salama nchini huku asilimia kubwa ikiwa ni vijana. Mkurugenzi wa Marie Stopes Tanzania Ulla Muller alisema mbali na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa sifa za mume bora
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Sijui tuite nini, ila kiufupi tangu nivunje ungo nimekuwa nikibahatika kukutana kimwili na wanaume malaya, na mpaka hivi sasa sitaki kusikia habari za wanaume waliotulia. Endapo ukanitongoza, na...
6 Reactions
146 Replies
19K Views
Habari wana JF, Kuna majina tumekuwa tukiiga wenzetu na kuwaita marafiki ambao sio wapenzi na yamezoeleka. Kama: mpenzi, baby, sweety, wangu, luv, luvy, mchumba, horney na mengine mengi. Hii...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wengine wanasema mapenzi yanaangalia hela ila mapenzi ni feelings bhana. Awe na kitu au hana ila you just care for her/him. Unakuwa happy kwa uwepo wake,unamhurumia,unamjali. Hata akikuumiza bado...
10 Reactions
64 Replies
7K Views
Wana JF, Katika mambo ambayo unaweza kusema ni ya kishetani au ni kwa tamaa za ngono ambazo mtu ameshindwa kuzidhibiti, wiki iliyopita niliwaletea story ya kweli ya shekuwavi ambaye aliruka ruka...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Back
Top Bottom