Dr Myles Munroe kwa heri baba

Dr Myles Munroe kwa heri baba

Chamachama

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2014
Posts
200
Reaction score
129
kwa mara ya kwanza nakusikia ktka moja mikutano yako ukihubiri na kufundisha ulibadilisha maisha yangu palepale ghafla ulinipa njia nyingine ya kuisha ,nimeumia na taarifa yako ya msiba,moyo wangu nahisi unachomoka,nalia tangia asubuhi sijielewi,mungu wangu uliemtumikia kwa maisha yako hapa duniani akupe amani ya kurithi ufalume wa mbinguni
 
Nabii mweusi haukupasi uliye kama watu wasio ni iman....Kwa nabii kama wewe uliebadilishwa maisha na marehemu huu ndio ungekuwa wasaa wako wa kuwafariji wana familia ya marehemu na jamaa wengine wasio ma iman sasa kama wewe unajifungia chumban na kulia nan wakuwafarij wafiwa?

Biblia inasema katika UFUNUO WA YOHANA 14:13 Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.

 
Hii taarifa hata haieleweki
Huyu nabii ni nani? ni nini kimetokea tunaomba habari za kueleweka

RIP Dr myles munroe
 
hakuna haja ya kulia,Dr Munroe amemaliza kazi iliyoanzishwa ndani yake,lakini najiuliza ni kwa nini ameondoka na mke wake?je waliweka dhamiri?Mungu wa Mbinguni ndiye ajuaye yote hayo
 
Hata ukilia haiwez kurudisha hali halisi kishakufa maisha lazima yasonge mbele jiulize wewe utakufaje na je ukifa una majibu thabit ya kumjibu mola wako huko utakakokwenda??? Oh moyo unachomoka be a man wewe kila mtu atakufa na siku yake na muda wake mungu alompangia sote tutakufa ila kutangulia kugumu sana





Mungu amuweke/awaweke marehem pale walipopachagua walipokua hai
 
Nabii mweusi haukupasi uliye kama watu wasio ni iman....Kwa nabii kama wewe uliebadilishwa maisha na marehemu huu ndio ungekuwa wasaa wako wa kuwafariji wana familia ya marehemu na jamaa wengine wasio ma iman sasa kama wewe unajifungia chumban na kulia nan wakuwafarij wafiwa?

Biblia inasema katika UFUNUO WA YOHANA 14:13 Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.

Soma pia MHUBIRI 7;1 sifa njema ni bora kuliko marashi ya thamani. siku ya kufa ni bora kuliko siku ya kuzaliwa.
 
Alikuwa ana smile muda wote may his soul,rest in peace
 
great man of God who believed in leadership and kingdom agenda.
 
Back
Top Bottom