Ukiwa ni wewe utamfikiriaje mama mkwe wako

Ukiwa ni wewe utamfikiriaje mama mkwe wako

Tarime one

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
2,246
Reaction score
1,742
Ndo unatoka jioni na vits yako umempakia mkeo kakaa mbele na sit ya nyuma kakaa mama mkwe, mkiwa kwenye foleni linapita gari aina ya Range rover vogue new model,

ghafla mama mkwe anahamaki na kusema dah!check mwanaume huyo anapita na kitu cha maana, huyo ndo dume bwana, imagine ndo wewe unadrive hiyo vits utajisikiaje?
 
Ndo unatoka jioni na vits yako umempakia mkeo kakaa mbele na sit ya nyuma kakaa mama mkwe, mkiwa kwenye foleni linapita gari aina ya Range rover vogue new model,ghafla mama mkwe anahamaki na kusema dah!check mwanaume huyo anapita na kitu cha maana, huyo ndo dume bwana, imagine ndo wewe unadrive hiyo vits utajisikiaje?

Ntaona poa tu. Maana mmewe hata bajaji hana. si atakuwa kamaanisha mmewe ni shoga?
 
Hao ni type za mama mkwe wa kizazi cha myoka. Ukiwa na maza mkwe wahivyo ndio mwisho wake kina Mushi wanafanya yao....aaaah
 
Mimi ningemwambia yule ni hanisi mkubwa hapa mjini !:embarassed2:
 
ningemwwambia uwezo wa vogue sina ila uwezo wa kumkuna mwanae ninao
 
Mama mkwe mwenye busara hawezi kuzungumza hayo,unless ni sample type zile,na akizungumza hivyo the best way ni nyie wote wawili kunyamaza
 
Nikweli baba ila jitahid maana anawezatokea mkwe mwingine mwenye ndinga kama hilo cjui itakuwaje! Hapo utamjibu nn?
''Kweli mama, gari zuri sana hilo, jamaa amejitahidi kwa kweli.'' Mungu akitusaidia baadae tutapenda na sisi tumiliki kama hilo, kwa sasa hiki kivitzi kinatusaidia sana mama yangu''


 
Ndo unatoka jioni na
vits yako umempakia mkeo kakaa mbele na sit ya nyuma kakaa mama mkwe,
mkiwa kwenye foleni linapita gari aina ya Range rover vogue new
model,ghafla mama mkwe anahamaki na kusema dah!check mwanaume huyo
anapita na kitu cha maana, huyo ndo dume bwana, imagine ndo wewe
unadrive hiyo vits utajisikiaje?

dah lazima uzimie kimyakimya. aisee wanaume taften fweza
 
Back
Top Bottom