Kama kichwa cha habari, hapa tutajali zaidi urafiki wa tulio MMU, kwani nionavyo ni swali gumu, ila nimewahi kuwaona wadada wakisimuliana siku walipokua, yaani alipobalehe, Sina uhakika ila...
Mi nikisaviwa kwa jina la "babaa" huwa nafurahi sana but hayo majina yenu ya kizungu sijui sweetie,honey,baby,sijui darling,my love,honey mara dear huwaga siya pendi hata kidogo nahisi kama...
Wakuu heshima kwenu;
Kwa kipindi kirefu sana nimekuwa nikisoma na kujifunza maswala ya mahusiano katika ndoa inaelezwa kuwa moja ya sababu kuu ya wanandoa kutoka nje ya ndoa zao, ni wapenzi...
Habari yenu wana jamvi, Nina machache napenda kuwashirikisha jioni hii.Umeoa na kupata watoto kadhaa na mkeo.
Anakuja mtu na kukutonya kuwa "watoto hao si wako" ila mkeo husema ni watoto wako...
Nakumbuka ilikuwa ni mida ya saa 8:00 mchana nikaingia ndan ya Bank moja maarufu hapa nchin yenye matawi yake karibu kila mkoa. Moja kwa moja nikaenda kuomba balance ya A/C yangu, kwenye dirisha...
Nimepatwa na mshtuko baada ya kupata majibu ya DNA yakionyesha mtoto niliekuwa na wasiwasi nae kwamba nimebambikiwa ni wakwangu tena kwa asilimia 99.99%.
Ilikuwa hivi, mimi ni mtanzania kabila...
ki ukweli ferooz alielezea hali halisi inayokukumbuka una,uona bosi ni Mungu.
1.Nyumba unayoishi ya kampuni
2.Ukoo mzima unakutegemea
3.Elimu yako ndo vile tenaa
HIVI UTAACHA BOSI ALE TU...
Huyu bwana alinipa mimba na aka mkataa mtoto wake.Amenikatia sana simu kila nilipomtafuta na mengine mengi mengi nisiwachoshe kwa kuwasimulia.
Muda wa miezi kadhaa sasa umepita toka katoto...
Huu umekuwa ni utamaduni katika makabila mengi ya kitanzania wakati kwenda kuposa, ni lazima barua iandikwe na kuwekwa kwenye bahasha nyeupe na kufungwa kwenye bahasha nyeupe.. Je wana mmu vitu...
Habari wana MMU!Naomba ushauri wenu.Nimenenepa sana (tumbo, mikono, miguu, mgongo), pia nilikuwa sijashiriki tendo kwa miezi kadhaa, nilikuwa safarini. Sasa nimerudi, kwa kweli nimekuwa mzito sana...
Juzi kati nimeanza kuchati na mwanaume huku Jamiiforums ana maneno matamu naye amesema amevutiwa na posti zangu.
Kwa kweli tukichati ananipa furaha mpaka najutia kuwa na huyu.
I am soo carried...
Jamani nina watoto wanne na mke wangu ana mimba sasa, ila ni mtoto mmoja tu tuliye mzaa kwa kujiandaa wengine wote ni kwa ajali.
Hii mimba ya mwisho aliyo nayo tumeabiwa yawezekana atazaa kwa...
House girl alitandika kitanda cha
bosi wake Kama Sehemu ya
jukumu lake la kila siku.
Alipomaliza akakitazama sana kile
kitanda cha bosi wake akasema
naweza kufa bure bila ya kulalia
kitanda...
Nadhani imekuwa ni kama suala la kawaida tu kusikia mwanamke anamtukana mwanamke mwenzake eti we K*MA NINI! Au unasikia wanatolea mfano kwa kusema "huyu kaka nae ana mambo ya kike"
Kuna siku...
Habari za Mchana wana MMU,
Kuna mbaba janamani aliwahi kuja kazini kwangu Boss akanambia nimsaidie kazi yake, basi amekua msumbufu
mara kaleta zawadi mara napenda harufu ya Perfume yako, na...
Ilikuwa ni usiku wa manane nikiteremka basi kutokea Zambia ,nikiwa katika mihangaiko ya kusubiri tax itakayopita bila ya mafanikio ,ghafla ilinipita gari ndogo na kufunga breki kama mita 50 kutoka...
Binti wa miaka 22 inayesemekana alipata maambukizi miaka 10 iliyopita baada ya kushare vifaa vya manicure na binamu yake aliyekuwa na maambukizi ya HIV.
Soma link...