Mkataba muhimu ktk ndoa (prenuptial agreement)

Mkataba muhimu ktk ndoa (prenuptial agreement)

kui

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Posts
6,467
Reaction score
6,500
Ndoa zenyewe hizi za kizazi chetu zilizoko kwenye Life Support kila kukicha!, Prenuptial muhimu. Nionavyo,atakae chit KWANZA...

1.Asipate chochote kwenye mgawanyo wa mali

2. Anyang'anywe watoto, awaone kwa nadra
 
Hili linawahusu wanaume,wangekuwa wanabanwa na sheria kuendelea kuzihudumia familia zao baada ya kuchepuka...wangefikiria mara mbili mbili kuchepuka.....
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom