Fito ya goli

Fito ya goli

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
Nilikuwa naongea na dada mmoja hivi utani utani nikamwambia ww ukienda game na mm huniwezi means kale kamchezo ketu katamu akasema mimi sina lolote na siwezi katika bisha bisha pale akanitwanga swalii akasema nielezee hii style ya kale kamchezo inaitwa FITO YA GOLI ukiweza kunielezea vizuri nitakupa hako kamchezo hapa hapa.....daaa mwanume nilijikanyaga pale nikashindwa

Sasa naombeni msaada hii ni style gani anaye weza nielezea guyz
 
Wavulana bana...

Simba angelikuwa anafanya michezo kama hii na wanyama pori sidhani kama angeliitwa mfalme wa nyika...
 
Umeonaeeee angempa mji tu mchezo kwisha na game angepiga asa mwanaume anashindwaje bana hahahaaaaa kama nakuona umepewa hiyo nafasi ni shidaaa

yaaani hizi bahati wengine huwa hatupati, mtoto anakuja mpaka ndani ushindwe kupiga kisa swali!!! hapo angedanganywa mpaka atulie na game linapigwa vizuri tu kwa ushirikiano
 
yaaani hizi bahati wengine huwa hatupati, mtoto anakuja mpaka ndani ushindwe kupiga kisa swali!!! hapo angedanganywa mpaka atulie na game linapigwa vizuri tu kwa ushirikiano

Na hapo haipasw maneno,mwanaume unatambaa na vitendo tu!
 
yaaani hizi bahati wengine huwa hatupati, mtoto anakuja mpaka ndani ushindwe kupiga kisa swali!!! hapo angedanganywa mpaka atulie na game linapigwa vizuri tu kwa ushirikiano

Hapo chacha
 
Back
Top Bottom