Mbona wanawake tunadhalilishwa hivi?

Mbona wanawake tunadhalilishwa hivi?

loveleen

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
428
Reaction score
113
Madhara ya wanawake kua Jeshini😟😣
 

Attachments

  • 1416460320879.jpg
    1416460320879.jpg
    65.5 KB · Views: 671
Duh hiyo kali!!Labda Makamanda wanataka kujibebea mizigo!
 
Udhalilishaji kwa wanawake hautaisha mpaka watakapojitambua
 
Udhalilishaji kwa wanawake hautaisha mpaka watakapojitambua

Na sio leo wala kesho. Waache wawaze kuchuna tu mibuzi na kuendesha magari, kuibiana waume na kuolewa. But siku tukiamua kwamba we have had enough nafasi tuliyopewa ya kujikomboa huenda.isiwepo tena.
 
Mmmmh! Ina maana akikutwa sio virgin wanamtoa jeshini ama!?
 
Uliza ''TOCHI'' ni nini kwa wanaume waliopita Jeshini hapa kwetu utajua unachokisema in relation to Jeshi.

Japo sijui uhusiano wa virginity ya Wanawake na Jeshi, Any Idea?


Madhara ya wanawake kua Jeshini
 
Uliza ''TOCHI'' ni nini kwa wanaume waliopita Jeshini hapa kwetu utajua unachokisema in relation to Jeshi.

Japo sijui uhusiano wa virginity ya Wanawake na Jeshi, Any Idea?

Haaa we ushawai kupigwa tochi nini mkuu. Hata hivyo haina haja ya sisi raia kujua.
 
Uliza ''TOCHI'' ni nini kwa wanaume waliopita Jeshini hapa kwetu utajua unachokisema in relation to Jeshi.

Japo sijui uhusiano wa virginity ya Wanawake na Jeshi, Any Idea?

hmm sijakuelewa mkuu tochi ndio nn?
 
Anayefahamu virginity test inafanyikaje atujuze
 
Back
Top Bottom