Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,782
- 7,555
Inabidi mtambue pia kuwa to some degree, baadhi ya wanaume wana tabia ya kukwepa kujenga mahusiano ya maana, (mahusio ambayo hatimaye yaaweza yakaja kupelekea kweye ndoa) na wasichana menye sura nzuri, kwa kuhofia michepuko huko mbeleni.
Tafadhali naomba nieleweke pia kuwa hapa naongea tu kama layman, or an ordinary mind person in the streets.
Tafadhali naomba nieleweke pia kuwa hapa naongea tu kama layman, or an ordinary mind person in the streets.