Mama ni mama: Kwanini baba asihusishwe?

Mama ni mama: Kwanini baba asihusishwe?

Payer

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
824
Reaction score
189
Habari ya jioni wakuu wote wa jukwaa hili la MMU. Leo nina dukuduku. Najihisi kukerwa tena kukerwa haswaaa. Si ajabu umesikia Mara kadhaa au kupokea ujumbe mfupi wa maandishi ukisema "Mama ni mama, mpende mama"

Nijuavyo Mimi mtoto ni zao la baba na mama. Sasa kaulimbiu za kibaguzi kama hizi? Baba hastahili kupendwa? Sidhani kama kuna mwanaume anaeweza zagaza sms kama hii. Na kama ndivyo, basi asili ya ujumbe huu wa kibaguzi na mwanamke na anajidhirisha wazi alivyo mbaguzi.

Wazo langu katika hili ni kuwa kampeni za upendo zapaswa kuwa kwa wazazi wote na sio mzazi mmoja kati ya wawili. Wadau wengine mnalichukuliaje hili? Nawaalika kwa maoni yenu.

Asanteni nyote.
 
Nani kama mamaaaa? Jibu....................
Pia nani kama baba?
Jibu....................
 
Namaanisha kwamba katika familia , kuna roles za mama ambazo baba hawezi kuplay , vilevile kuna roles za baba ambazo mama hawezi ku play.

Kwa hiyo nahitimisha kwa kusema hakuna kama mama na vilevile hakuna kama baba
 
Habari ya jioni wakuu wote wa jukwaa hili la MMU. Leo nina dukuduku. Najihisi kukerwa tena kukerwa haswaaa. Si ajabu umesikia Mara kadhaa au kupokea ujumbe mfupi wa maandishi ukisema "Mama ni mama, mpende mama"

Nijuavyo Mimi mtoto ni zao la baba na mama. Sasa kaulimbiu za kibaguzi kama hizi? Baba hastahili kupendwa? Sidhani kama kuna mwanaume anaeweza zagaza sms kama hii. Na kama ndivyo, basi asili ya ujumbe huu wa kibaguzi na mwanamke na anajidhirisha wazi alivyo mbaguzi.

Wazo langu katika hili ni kuwa kampeni za upendo zapaswa kuwa kwa wazazi wote na sio mzazi mmoja kati ya wawili. Wadau wengine mnalichukuliaje hili? Nawaalika kwa maoni yenu.

Asanteni nyote.

1.mkuu,apa kidogo umeteleza kabisaa, naomba usikerwe kama ulivyo dai, mama upendo wake ni mkuu mno sana kuliko baba. wakati mwingine unaweza ukaona upendo wa mama haswa unapo kuwa tumboni mpaka atua ya kujitambua. kwa kipind hicho mama usumbuka sana kwa ajili ya mtoto.

2.Kwa mfano baba na mama wanapokuwa pamoja mfano wamekaa kwa pamoja na mtoto wao mdogo akajisaidia aja kubwa, nafikiri ni inawezekana ikawa 2% au 0% ya wababa utakao waona wanashika kinyesi cha mtoto na kumuogesha mtoto wakati huo mama akiwa amekaa anangalia! na baada ya apo baba akafua nguo za mtoto zenye uchafu!

3.Baada ya kuwa mtu mzima, mama utumika kama mshauri na mtunza siri zaidi ya baba. ndio maana watoto wengi upenda kumwambia mama siri flan then mama ndo anaweza kuipeleka kwa baba endapo ataona inafaaa. hii ufanywa sana na watoto wa kike. na ndio maana hata wakipata waume/mchumba upenda kumwambia mama kwanza kabla ya baba.

4.Katika suala la kuzaa mtoto, baba utumika pale wanapokutana wakati wa tendo la ndoa tu, ambapo wote tunajua kuwa tendo la ndoa, ufanyika katika mazingira ya furaha na amani tu bila kuwepo tatizo. hivyo baada ya apo mama ushika mimba, kipindi chote cha miezi tisa, mama upata misuko suko mikubwa ikiwemo na maumivu makali uku sisi kama wababa tukiwa tunaona na kuishia kutoa pole na kuleta matumizi bila kumegewa maumivu ayapatayo mama.

kibaya zaidi kabisaa mama anapokuja kujifungua upata uchungu sana kiasi cha kutamani kufa, wakati huo sisi wababa tuko na raha mstarehee kabisaaa tukisubiri kuona mtoto tu. na hospital zingine wakati mama anapata mateso ya kuzaa wababa ua tumekaa nje tu kwenye kibenchi kusikilizia majibu tu! kwa kweli katika hali kama hiyo mama atabaki kuwa mamaa kabisaaa. hiyo ni nature aliyo iweka Mungu.

5.Mwisho tambua kabisa tukisema mama lazima afanye kazi zote za baba, mama anaweza kuzifanya labda akashinda kwa asilimia ndogo. n.k. lakini tukisema baba pia lazima afanye kazi zote za mama, nina uakika sisi kama wanaume tunaweza kuzifanya ila sasa kibarua kizito kitakuja wakati wa kuambiwa, baba naye abebe mimba miezi tisa, sidhan kama kuna baba anaweza kujitokeza!

ni lazima tupende tusipende heshima ya mama ibaki kuwa juu tu mkuu
 
Namaanisha kwamba katika familia , kuna roles za mama ambazo baba hawezi kuplay , vilevile kuna roles za baba ambazo mama hawezi ku play.

Kwa hiyo nahitimisha kwa kusema hakuna kama mama na vilevile hakuna kama baba

Safi kabisa mkuu, ubaguzi mwiko
 
1.mkuu,apa kidogo umeteleza kabisaa, naomba usikerwe kama ulivyo dai, mama upendo wake ni mkuu mno sana kuliko baba. wakati mwingine unaweza ukaona upendo wa mama haswa unapo kuwa tumboni mpaka atua ya kujitambua. kwa kipind hicho mama usumbuka sana kwa ajili ya mtoto.

2.Kwa mfano baba na mama wanapokuwa pamoja mfano wamekaa kwa pamoja na mtoto wao mdogo akajisaidia aja kubwa, nafikiri ni inawezekana ikawa 2% au 0% ya wababa utakao waona wanashika kinyesi cha mtoto na kumuogesha mtoto wakati huo mama akiwa amekaa anangalia! na baada ya apo baba akafua nguo za mtoto zenye uchafu!

3.Baada ya kuwa mtu mzima, mama utumika kama mshauri na mtunza siri zaidi ya baba. ndio maana watoto wengi upenda kumwambia mama siri flan then mama ndo anaweza kuipeleka kwa baba endapo ataona inafaaa. hii ufanywa sana na watoto wa kike. na ndio maana hata wakipata waume/mchumba upenda kumwambia mama kwanza kabla ya baba.

4.Katika suala la kuzaa mtoto, baba utumika pale wanapokutana wakati wa tendo la ndoa tu, ambapo wote tunajua kuwa tendo la ndoa, ufanyika katika mazingira ya furaha na amani tu bila kuwepo tatizo. hivyo baada ya apo mama ushika mimba, kipindi chote cha miezi tisa, mama upata misuko suko mikubwa ikiwemo na maumivu makali uku sisi kama wababa tukiwa tunaona na kuishia kutoa pole na kuleta matumizi bila kumegewa maumivu ayapatayo mama.

kibaya zaidi kabisaa mama anapokuja kujifungua upata uchungu sana kiasi cha kutamani kufa, wakati huo sisi wababa tuko na raha mstarehee kabisaaa tukisubiri kuona mtoto tu. na hospital zingine wakati mama anapata mateso ya kuzaa wababa ua tumekaa nje tu kwenye kibenchi kusikilizia majibu tu! kwa kweli katika hali kama hiyo mama atabaki kuwa mamaa kabisaaa. hiyo ni nature aliyo iweka Mungu.

5.Mwisho tambua kabisa tukisema mama lazima afanye kazi zote za baba, mama anaweza kuzifanya labda akashinda kwa asilimia ndogo. n.k. lakini tukisema baba pia lazima afanye kazi zote za mama, nina uakika sisi kama wanaume tunaweza kuzifanya ila sasa kibarua kizito kitakuja wakati wa kuambiwa, baba naye abebe mimba miezi tisa, sidhan kama kuna baba anaweza kujitokeza!

ni lazima tupende tusipende heshima ya mama ibaki kuwa juu tu mkuu

Sijateleza na ninatofautiana nawe mkuu.... Ktk kila role ya mama ktk jamii kuna role mbadala ya baba.
Hivyo upendo na heshima vyapasa kuwafikia wote kila mmoja kwa namna yake .
Na sio kueneza maneno upande mmoja tuu wa upendo na kuufifiza mwingine.
I stand to be challenged.
 
mkuu kubali tu, unacho sema uko sawa tatizo ni kwamba, hizi role za mama na baba zikiwekwa pamoja, upande wa mama, role zake zinaonekana kuwa nzito zaidi ya baba, otherwise subiri waje wadau
 
Kila role huwa ngumu, inategemea na mtendaji. Maumbile kisaikolojia, kibailojia na hata mazowea.
Kazi za nyumbani zinafanywa vzr sana na wanaume waliozizowea ila si mwanaume mgeni wa kazi izo. Hata wanawake ambao hawajazizowea hawaziwez mkuu
 
baba na mama ni kama pande mbili za shilingi. Hakuna upande wenye influence kubwa katika thamani ya shilingi. Hivyo upande mmoja wa shilingi ukikosekana tu, hiyo sio hela tena
 
Kwa hiyo mama hawezi Ku play pande zote vilevile baba naye hawezi play pande zote
 
baba na mama ni kama pande mbili za shilingi. Hakuna upande wenye influence kubwa katika thamani ya shilingi. Hivyo upande mmoja wa shilingi ukikosekana tu, hiyo sio hela tena

Nakubaliana nawe mkuu.... Sasa sms hizi zawafaa watoto ambao walitelekezwa na baba zao. Mama akimhasisha mtoto kumlipa fadhira kwa kumlea peke ake
 
mkuu kubali tu, unacho sema uko sawa tatizo ni kwamba, hizi role za mama na baba zikiwekwa pamoja, upande wa mama, role zake zinaonekana kuwa nzito zaidi ya baba, otherwise subiri waje wadau

Roles Nyingi ni biological hivyo huwezi mbagua MTU yeyote. Mila mmoja wetu ana play biological role ipasavyo hivyo baba nae anapaswa aheshimiwe na apendwe kwa nafasi yake.
 
Na ikumbukwe kuwa hata mtoto akilelewa na mzazi mmoja . Lazima kunakuwepo na father figure au mother figure. Kwa lugha nyingine yupo anayeplay roles za mama au baba
 
Ni dhahir kwa hili bila ubishi
 
Wote ni wazazi na wote ni muhimu sana. Kila mmoja anatakiwa atimize wajibu wake kama inavyompasa. Ukiona.mtu anabagua wazazi inawezekana wazazi ndo walianza kumbagua kwa hiyo analipiza tu kisasi. Wazazi wapendeni watoto wenu bila ubaguzi nao hawatawabagua.
 
Habari ya jioni
wakuu wote wa jukwaa hili la MMU. Leo nina dukuduku. Najihisi kukerwa
tena kukerwa haswaaa. Si ajabu umesikia Mara kadhaa au kupokea ujumbe
mfupi wa maandishi ukisema "Mama ni mama, mpende mama"

Nijuavyo Mimi mtoto ni zao la baba na mama. Sasa kaulimbiu za kibaguzi
kama hizi? Baba hastahili kupendwa? Sidhani kama kuna mwanaume anaeweza
zagaza sms kama hii. Na kama ndivyo, basi asili ya ujumbe huu wa
kibaguzi na mwanamke na anajidhirisha wazi alivyo mbaguzi.

Wazo langu katika hili ni kuwa kampeni za upendo zapaswa kuwa kwa wazazi
wote na sio mzazi mmoja kati ya wawili. Wadau wengine mnalichukuliaje
hili? Nawaalika kwa maoni yenu.

Asanteni nyote.

mtu anakuwa na uakika kwamba huyu ndo mama ila baba hapana .coz mama anaweza lala na john leo na kesho joshua je baba mtoto ni nan?
 
Back
Top Bottom