Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Inasikitisha sana siku hizi wanaotumia Viagra ni vijana wadogo sana ,wengine hata ni wanafunzi wa vyuo. Na hii si Dar tu, mpaka hata mikoani..nilikua Dodoma nikawa na jamaa yangu mmoja pale...
3 Reactions
111 Replies
16K Views
habari wana JF natafuta mpenz wa kike umr kuanzia miaka 18 mpka 25 mim nina miaka 25 npo dar naye pia awe dar,,me ni mfanyakaz nimeajiriwa ktk kampun binafs hapa dar,natafuta mpenz ikiwezekana aje...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya leo ndio siku ya UKIMWI Duniani; Je umeitathimini mienendo yako? Inakuweka kwenye position gani? My Message to you is this... A moment of Pleasure can desrtoy many lives, an act of...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Naitw armany naishi dar,, nahitaji mpenz wa kweli na asiwe muongo...awe modle kiias rang yyote...0758082840 whatsapp utaniiipata
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Nikiangalia nyuma yangu naona alama ya nyayo zikiwa zimekuja uelekeo wangu, nikitazama kwa umakini nagundua kuwa ni nyayo zangu hadi hapa niliposimama. Sioni mwanzo wake ila naambiwa kuwa...
14 Reactions
31 Replies
3K Views
Jumamosi ya juzi nikiwa ndani mwangu nafuatilia Bunge, nilisikia hodi ikabidi nikajue ni nani, alikuwa ni Jirani yangu (Binti) ana miaka kama 24-26 hivi, toka nimehamia hapa sijui ana shughuli...
3 Reactions
139 Replies
15K Views
Hodi humu i am a boy 22 years old nipo chuo kikuu degree in electrical engineering. I am a single boy shida yangu ni upweke umenizidi, natafuta mpenzi ambaye if possible tuje kuoana vigezo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Demu wangu ananiboa badala ya kunifurahisha. Juzi tulibishana kuhusu vyama. Mimi ni CHADEMA damu damu na yeye ni CCM. Nakereka sana anapowakashifu viongozi wa CHADEMA na kuanza kusifia mafisadi wa...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Jaman wana JamiiForums, wanajamvi. Hivi mtu unaweza ukatongoza mpaka kuoa mwanamke ambae umemtongoza mitandaoni "social networks" bila kuonana akakubali kwa kuona picha tu? Je atakua mwaminifu...
1 Reactions
53 Replies
8K Views
Aisee huyu mtu anaitaji ushauri Nimekata tamaa ya kuolewa kabisa kwani niliedhan kuwa ndo mume wangu kanigeuka vibaya sana. Umri wangu miaka 28 nimejitunza siku zote nikiamini na kumuomba mungu...
2 Reactions
185 Replies
31K Views
Inawezekanaje binti graduate at the age of 27 hana boyfriend? Kuna binti mmoja graduate hana boyfriend wala mchumba. inakuwaje ? Yeye social sana na marafiki zake wote wana boyfriends, wachumba na...
0 Reactions
103 Replies
8K Views
Unakuta kijana kampa binti ujauzito(mimba) halafu anamkataa, binti anavumilia mpaka anajifungua na anaendelea kulea huyo mtoto, Mungu si binadamu binti anapata bwana wakumuoa akishaolewa unaona...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Dah! Tangu tareh 21/5/2014 sijaosha rungu langu. Ninamshawasha lakini ndio hivyo tena mshika dau analea. Wapi nitaenda kuchuja nafaka wakati nikubali kuapa mbele ya mashahidi kua "nitamvulia...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Na umri wa miaka 27 nipo dar naitaji mwanamke anae nizidi umri au kulingana umri tuishi pamoja kama upo teyali nitafute 0716284572
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Shikamoo babu na bibi, shikamooni wazazi wangu. Bila shaka siku ya leo imeenda vizuri mkiwa na wajukuu hapo nyumbani. Napenda leo kuwauliza kuwa hapo enzi za ujana wenu mlipokua katika...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
SIMULIZI……. JIMAMA MTAA WA PILI ( 1 ) MTUNZI……….GIFT KIPAPA FB PAGE …….KICHAKA CHA SIMULIZI STORY CLASS…. NASTY ROMANTIC STORY AGE……..18+ WHATSAPP ME ON +255 715 55 71 91 PHONE….. 0757 41 44 36...
0 Reactions
6 Replies
32K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…