Salaam Wanajamvi! Ni matumaini yangu kuwa wote mu-wazima mkiwa tayari mnajiandaa na sherehe ya kuzaliwa kwa Messiah pamoja na mwaka mpya ambao nao nadhani haugawanyiki kwa nne! Baada ya Salaam...
wanawake wengi hasa wa kiafrika hawako huru kunako 6*6, sababu kubwa ni kwamba wana aibu so ukiwa unakiss au hata kumtekenya huko huwa anaona aibu na kuforce umfanyie penetration. kwani anajua...
Simu za magulio zina shida sana.Hupati muda wa kutosha kuzichunguza. Hofu inakufsnya upeleke mambo fasta fasta, ukizubaa mwenzako atabeba. Magulio yenyewe haya ya Desemba kipindi cha Krismas, watu...
Alikuwa ni binti aliyelelewa katika familia yenye maadili , alikuwa ni binti mtulivu na mwenye msimamo positive juu ya maisha yake ! Wanaume wengi walimwinda lakn hawakufanikiwa kumpata ila mimi...
Wandugu wa JF...
Ninamtafuta baba yangu kwa jina John Herman Kowanga ni mzaliwa wa Dodoma.
Nimeambiwa na mama kuwa aliwahi kuish Mikocheni miaka ya 1974.
Alikuwa akifanya shughuli za...
Kazi anayofanya mke wangu inamfanya arudi wakati mwingine usiku na anapofika huwa ananiambia sababu za kuchelewa kwake kurudi hata hivyo huwa siziamini sana kwani siku hizi waviziaji wa wake za...
Wadau, kama kuna wanafuatilia hyo movie via star tv, embu tusaidiana, je, Ser Chief anaogopa kumtokea life Maya? Anaogopa hasa nini? Jamaa anaelekea kufa kwa sababu ya Maya. Ufafanuzi please!
Ninaomba kwa anayefahamu sababu inayopelekea wanawake kununa bila hata kuudhiwa na mtu yeyote, unaweza kuta jana alikua mcheshi na mchangamfu ila siku inayofuata kabadilika kabisa, na hata kufikia...
Wanajamvi, mwaka ndio huooo. Mungu akipenda tutaumaliza salama au akipenda vinginevyo Basi Mapenzi yake nayatimizwe.
Ok ok, Salam ni kitu cha kawaida sana, salamu sio Shkamoo na Marahaba tu...
Kuna mambo uwa yanatokea na yanasikitisha mpaka nikaamua kueleza hivi,pia mimi si mbaguzi ila nilichokiona nikikaa kimya itakuwa mbaya zaidi.Ngoja niende kwenye mada nisiwachoshe.
Nimeshuhudia...
Habari wanaJamiiForums.
Mara nyingi nakuwa na maswali yanayonisumbua kuhusu tofauti yetu ya umri.
Nahitaji kuoa, ila tofauti yetu ya umri inanitatiza kidogo kwani nahisi gap ni kubwa zaidi...
Habari za hasubuhi wanajamii , naomba kudokezwa japo kidogo ni kabila lipi mabinti zao wataalamu wa mchezo wa kitandani. Kuna watu wanadai wakerewe na wajita ni balaa.
kwa vile viumbe vilivyobahatika kuwa na chuchu hujisika raha sana kiasia pale kinaponguswa kwenye chuchu,
utafiti huu nimeufanya kwa kuona kwa kujaribu kushika na kushikwa,
wale wakamuaji...
Jamani wadau, naheshimu sana mawazo yenu.
Mchumba wangu nje na kuwa nae miaka takribani mitatu sasa, amepata ujauzito kwa jamaa mwingine.
Kanidanganya tusionana karibu miezi miinne ili atoe...
Hii sio fresh kabisa.
Nikitaka hanipi, nikilazimisha nabaka, nikiomba asubuhi sithamini usingizi wake, yaani kupata ni mpaka ninyemelee nijipendekezeshe eti sasa joto siku hizi ndio kabisaaaa...
Habari za mchana watazamaji, washangaaji na wachangiaji wa nyuzi mbalimbali za majukwaa pendwa ya mtandao wetu bora kabisa wa JamiiForums.
Baada ya salaam hiyo naomba niende moja kwa moja...
Rejea kichwa cha habari.
Nina umri wa miaka 29, elimu yangu ni chuo kikuu.zifuatazo ni baadhi sifa muhimu za mke naemuitaji :
1.Awe mcha Mungu ( mkristo )
2. Awe mwenye maadili ya kiafrika...