Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Lamomy alisema niendelee kushea episodes za maisha yangu, basi leo kuna jambo limenitokea na hapa ndiyo pa kusemea. Iko hivi, mnajua nimeachana na yule mwanaume bondia, sasa huyo Ex wangu alikua...
7 Reactions
108 Replies
5K Views
Mwanaume wa miaka 37 anahitaji mwanamke daktari wa wanadamu, au mwalimu wa kuoa. Awe na sifa zifuatazo: 1. Daktari wa wanadamu aliyehitimu au aliye na kazi 2. Mwalimu wa msingi au sekondari...
4 Reactions
11 Replies
886 Views
MAPENZI NI POMBE Kwanza yanaingia kwa utulivu kama kinywaji baridi kwenye koo lenye kiu. Hakikuleweshi mara moja, unajiona uko sawa. Unacheka, unapiga stori, unajibu kwa utulivu. Lakini...
3 Reactions
8 Replies
661 Views
Wadau..kwa muda mrefu nimeona kwenye mitandao mbalimbali kuhusu huyu dogo Manaiki Sanga kuweka picha za utupu na madada mbalimbali. Nashangaa sana...ina maana hao wadada wanafanya maksudi...
0 Reactions
15 Replies
14K Views
Unywaji wa maji ray katusaidia, ngozi ina waka baraabara! Nirufi kwenye mada, je ni sahihi kumnunulia mwanamke wako chupi iwe bikini au chupi Kwa mwanaume una ionaje hii? Kwa mwanamke unapo...
0 Reactions
68 Replies
15K Views
Desemba 02 ya kila mwaka ni tarehe ambayo miongoni mwa wengi waliozaliwa siku hiyo, basi mimi kamtu kadoogo kasiko na umuhimu sana nilizaliwa. Yes namshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote, ameniongoza...
4 Reactions
61 Replies
5K Views
1️⃣ Matarajio Makubwa – Watu wengi sasa wana vigezo vingi vya mwenza wanayetaka. Wanaume wanataka wanawake wenye heshima, waelewa, na waaminifu, wakati wanawake wanataka mwanaume aliye stable...
7 Reactions
74 Replies
3K Views
Habari waheshmiwa. Straight ti the point. Kuna kinyago wanaume wengi wamekichonga wenyewe na kina watesa pasipo kuelewa. Hiki kinyago kinaitwa " PESA YA MATUNZO" au HUDUMA. Unakuta mwanamke ata...
0 Reactions
3 Replies
464 Views
Wakuu, Iwe mwanaume au mwanamke, Kuna wakati utafika (biological clock) utahitaji kua na mwenza WAko WA maisha, WA kuishi nae na kufanya nae maisha mpaka kifo kiwatenganishe. Na HUWEZI kuongelea...
6 Reactions
71 Replies
2K Views
Habari kwenye jukwaa hili, natumai mu wazima wa afya. Mimi ni mtu ambaye niko busy na mara nyingi nashinda kwenye Computer kutokana na fani yangu ni IT. Sipati muda mwingi wa kutoka hivyo imekuwa...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Usile tigo ni hatar sanaaa kwako kwa sababu katika uume wako kuna mirija miwili mrija wa mbegu za kiume na mrija wa maaji maji ya kubeba shahawa . Maji maji ni mengi sanaa shahawa no chache...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu sielewi hii kitu nimemleta single maza kwangu ila mtoto wake analia Ahsubui mpaka jioni. Ukimzuia kitu analia , mama yake hataki aguswe Ana miaka 2 sasa. Ila akimuacha mtoto anakaa kimya...
12 Reactions
46 Replies
2K Views
Kwa kweli unakuta umerudi zako home kutoka kwenye shughuli zako unakuta mwanamke kakuvutia tu domo bila sababu za msingi,lengo lake kubwa ni eti kutafuta attention ya wewe kumbembeleza. Yani...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Humu kila kukicha watu wanalia na mapenzi, wenzetu huko kunakowafanya mkose raha, kulalamika, kuvurugwa huwa mnapewa nini? Inawezekana labda sie hatujakutana navyo ndio maana haivitusumbui, labda...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Shalom, Nimekumbuka hii story ya siku nyingi sana mtoto mmojawapo wa marehemu Advocate na pia Mwalimu Masumbuko Lamwai, alikuwa na demu wake mmoja hivi kitambo sana miaka 21+ hivi nyuma. Huyu...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wandugu wa MMU leo nimehudhuria send off ya class mate wangu, nipo nimekaa meza moja na mzee mmoja wa kichaga kaja na wanaye wameshuka kwenye Prado Diamond, kaja na mabinti wawili pamoja na...
15 Reactions
73 Replies
5K Views
HAUTAKI KUMWAGA HARAKA? FANYA HIVI. Anaandika, Robert Heriel Asome kuanzia mwenye miaka 18. Nakupa Tips chache tuu. Mambo ya dakika moja chali utabaki kuyasoma mitandaoni na kuyasikia. Hata...
44 Reactions
148 Replies
22K Views
08 April 2025 “Ghanaian Pastor in Texas Arrested for Stabbing Transgender Wife to Death After Violent Dispute” https://m.youtube.com/watch?v=dVxpAxx3Zyg A deeply unsettling event has shaken the...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nina mpango wa kuoa ifikapo mwakani ila naombeni muongozo ni mambo gani ya kuzingatia wewe na mpenzi wako kabla ya kufikia hatua ya kuoana? Kwa wale mnaofahamu nitashukuru mkinipa mwongozo.
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom