Binadamu aliyekamilika kuna wakati anajiuliza maswali mengi halafu anayatafutia majibu maswali hayo. kuwaza na kutafuta majibu ya mawazo uliyokuwa nayo ni msingi mzuri. kuna wakati unaweza kuona...
Wapendwa Asalam Alaikum/Bwana Yesu asifiwe.
Leo sijaja na mambo mengi kama ambavyo huwa nakuja siku zote.
Leo naongea kwa uchache sana wapenzi.
Jina hili nadhani si zuri sana kulitumia kwa...
Je, wewe ni mwanamke ambaye umeachwa na huamini tena ktk mapenzi?
Au unaachika kila mahusiano hujui sababu ni nini?
Anyway najua sababu ziko nyingi... inawezekana umekutana na wanaume...
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 40-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi...
Kwema Wataalam !
Ndio linapokuja swali... Hivi mnaosema unawekeza kwa mwanamke una moyo imara vya kutosha kihimiri tukio atakalokutandika nao. Hapo chini nimeweka tu baadhi ya Comments za wadada...
Habari
Jina - Brighton
Umri - 39
Urefu - 5.5ft
Dini - Mkristo
Damu - group o
Pombe- sinywi
Rangi- maji ya kunde
Kazi- Nimejiajiri
Naishi- Nyanda za juu kusini
Maono/ndoto - nikukua kimaisha
Sofa...
Moja kwa moja kwenye point... Nikiongea kwa niaba ya wanaume wote wenye akili sawasawa ......(Excluding all madmen)
Ndoto yetu ya pamoja Kila mwanaume ni kuwa na mke anaesuka twende kilioni nzuri...
Namtazama hapa yupo salon demu alieniambia nimtumie nauli aje kutoka Dodoma. Na anachat na mimi hapa nimtumie haraka ili awahi kurudi home ajitayarishe. Aliniambia ameenda Dom kwa shangazi yake...
Achana na wale wanaogombania bwana kwa ajili ta kulipiwa kodi na mitaji.
Mimi wananigombania kutokana na muonekano wangu, hii ilianzia shule ya msingi, ni jambo la kawaida hadi nimezoea.
Kuna...
Mke kanikimbia siku ya tatu leo,niko tu mwenyewe hapa home,naona ugwadu umenikamata sio poa.nafikiria kuvuta manzi mwingine tu hapa mtaani nimgongee hapa hapa home.
Je ni sahihi kulala na...
Tumefahamiana tokea mwaka 2022 Desemba. Kufika Feb 2023 nikatupia swaga kutokana na mazoea ambayo nilikuwa nishajiwekea kwake, cha ajabu huyu mwanamke akanitolea baharini, nikaachana naye hata kwa...
Habari zenu waungwana.
Nina ndoa ya kikristo. Ninahitaji huyu mwanamke niliye naye atambulike, hasa kwaajili ya benefits flani kutoka ofisini.
Amejifungua muda sio mrefu, chata yangu kabisa...
Je ni sisi wenyewe wanaume ndio tuliotengeneza aina ya mwanamke mpenda na mtanguliza pesa katika mapenzi?
Au ni wadada wenyewe ndio wame-evolve kuwa money mongers katika mapenzi?
Kila mmoja atakubaliana na mimi kua kwasasa ndoa nyingi zinavunjika na ukijaribu kufuatilia kwa undani na kwa umakini zaidi sababu hasa ya ndoa hizo kuvunjika utagundua kua hakuna sababu zozote...
Baadhi ya wanandoa hukubaliana mmoja wao achepuke.Kwa mfano mume mwenye dosari kwamba jogoo hawiki huongea na mkewe,akachepuke na mke hufanya hivyo,huku akimuarifu mumewe kila stage.Halikadhalika...
My Dear Human,
I see that you are crying, for it is my moment to leave. Don't cry, please. I want to explain some things to you.
You're sad because I left, but I'm glad I met you.
How many dogs...
1.KUOLEWA KWA MDOGO WETU WA MWISHO.
Kaka yetu kwa sasa ni mzee anakaribia miaka 90 na anaishi nje ya nchi kwa sasa.
Ni mtu ambae sijawahi kuona jinsi alivyo na heshima,adabu,nidhamu,utulivu na utu...
Mabibi na mabwana hatimaye deal done nadhani sasa hatokuja nisahau nimefanya yote nnayoyafanya kwa mwanamke nikiwa kwenye minyanduo.
Kiukweli kaapa kwa majina ya mizimu yao hajawahi kukutana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.