Habari wana JF.
Kabla sijaenda kwenye fact naomba niwakumbushe ndugu zangu kuhusu kariakoo "FREMU zakufanyia biashara kariakoo bado zipo nyingi Sana muda wakuwekeza ni Sasa".
Thread hii ipo...
Hatukatai uzazi wa mpango ni muhimu, tunazalisha idadi ya watoto tunaoweza kuwamudu na kuwahudumia.
Tatizo linakuja mna uwezo wa kuhudumia hata watoto saba lakini mwanamke anafunga breki mtoto wa...
Marriage Confession: I Became the 'Other Woman' in My Own Life
https://www.youtube.com/watch?v=DAYVqZDbFkw
I Used to Judge Wives Like You, Until I Realized I Was Talking About Myself
There's...
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.
I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.
To be honest...
Habari zenu wakuu.
Sio mara ya kwanza kuomba ushauri juu ya migogoro yangu Mimi na mwenzangu (mke) pia nimekuja kwenu kwa mara nyingine tena kwakua this time naona imekua too much na nimeona bora...
Wanaume wengi huwa wana vimada nje ila huwa wanajiamini sana kuwa hawachapiwi huko nje, wengi huamini kuhudumia wake zao vizuri na kupiga mashine vizuri ndio kuwatuliza
Lakini tunaambiwa kati ya...
Kama kichwa cha habari kilivyo,
Wadau nimekwama kutoa maamuzi juu ya hili suala nabaki kuangalia tu siku ya tatu leo. Wakati naripoti halmashauri baada ya ajira mwaka 2015 Kigoma nilikutana na...
Kuna usemi kuwa nayejua Baba wa Mtoto ni Mama.Hii inatokana na tabia ya wanawake wengi kuwabambikia Waume zao au wenzi wao mimba wakati wamepatiwa na wengine.Inatokea pale Msichana anapotaka...
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa...
Wanajamvi Heshima zenu
Je unahitaji kuunganishwa ili kupata mwenzi wako kama Mchumba na baadae Mume au Mke. Tafadhali tuma wasifu wako kupitia DM ukijielezea ** Umri, Umbo lako, Dini, Hobbies...
Huo ndiyo ukweli ukubali ama uukatae!
Janamke au Janaume ambalo hulijui umekutana nalo tu huko kwenye Viwanja vya starehe,tambua limekuachia Mikosi ambayo itakuandama mwaka mzima !
Kibaya zaidi...
Angalau kila ofisini rasmi sehemu za mijini huwa na wafanya usafi mara nyingi huvaa uniform/sare maalumu hawa ndo kimbilio la madomo zege walio wengi humo.
Yaani ukimtaka tu unapanga nae ama...
Kwa muda wangu mfupi niliojiunga humu Jf nimegundua wanaume wengi mno humu ni wapweke.
Upweke ninaomaanisha hapa sio ule wa kukosa mpenzi/mchumba/mke bali upweke ninaouzungumzia hapa ni ule wa...
Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca.
Faida ni kuwa utakuwa Comfortable Sana .
Na pia utakuwa unawaza kitofauti Sana .
Na...
Kila mmoja ana mambo kadhaa ndani ya mahusiano ambayo yanamkera mpenzi wake. Ila kuna lile limoja kabisa umeshindwa hata kupunguza.
Share experience tujifunze kutoka kwako.
Binafsi: Nimeshindwa...
Habari wadau wa JF?
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Maisha ya mahusiano yamejaa visa na burudani za vya kufurahisha na kustaajabisha. Kuna wakati wapendanao hufurahiana sana ila kuna nyakati za...
Nitafanya yote lakini siwezi kuishi bila mwanamke Tena awe mwembamba na nitahonga vyote Ila kwenye mahusiano hayo lazima nipate Ile hakula nahisi kua wengi wanaoingia kwenye mahusiano hawajui...
Bwana bwana tembea uone.
Msichana wa Arusha akikasirika kidogo anaweza kukwambia ntakuchoma kisu mimi.
Au akitaka kukwambia kitu hata kama cha kawaida anaweza kulipuka kwa sauti kubwa ya ukali...
Hello jamiiforum
Moja ya siku nzuri na yenye kupendeza ikiwa ni kumbukumbu ya kufufuka Kwa Yesu Kristo wa mbari ya Daudi.
Hakika ni moja ya sikukuu bora kabisa Kwa siku ya leo.
Ndugu zangu...
Kuna mzazi mwenzangu tumezaa nae watoto wawili,juzi juzi hapa tulizinguana(nilimpiga) akabeba vitu vyake pamoja na watoto akarudi kwao,amekaa huko weeee me sikuhangaika nae kumtafuta,baadae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.