Unapoletewa chupi na mpenzi wako unajisikiaje?

bbwaoy

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
466
467
Unywaji wa maji ray katusaidia, ngozi ina waka baraabara!

Nirufi kwenye mada, je ni sahihi kumnunulia mwanamke wako chupi iwe bikini au chupi

Kwa mwanaume una ionaje hii?
Kwa mwanamke unapo letewa chupi na mpenzi wako una jisikiaje? Ni sawa au si sawa....

Na wasilisha...
 
Kuna mwanaume alikua akiniletea chupi mpya na pakti ya pedi kila mwezi raha sana kwakweli kuvaa alichokupa umpendae...japokua sitamsahau kwa mengi!
Kumbe bado wanikumbuka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom