Matukio ya kwenye sherehr ya 'send off' ya mwanadarasa mwenzangu

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
Habari wandugu wa MMU leo nimehudhuria send off ya class mate wangu, nipo nimekaa meza moja na mzee mmoja wa kichaga kaja na wanaye wameshuka kwenye Prado Diamond, kaja na mabinti wawili pamoja na mkewe tumekaa meza moja, wamependeza kisenge aiseee wananukia kama majini.

Wakuu mpwa wenu nimenyuka japo sio sana ila nimependeza kimtindo mkononu nineshika simu yangu Samsung gakaxy s22 Ultra tupo mezani tunakunywa juisi sisi ambao hatunywi mzee yeye anagonga kilaji mdo mdo.

Kuna muda mzee akataka tufahamiane nikamwqmbia mm naitwa Llio 002 akasema nasgukuru sana kukufahamu kijana wangu akaniuliza swali lingine unafanyabkqzi gani kijana hapo kidogo nika kaa kimya nikitafakali nikijifanya kama vile nakunywa juisi hivi.

Baadaye nikamjibu mimi mzee nachimba Visima I have a registered borehole drilling company akasema waohhh nna saiti yangu ipo Chalinze nahitaji kisima pale itabidi tubadilishane namba za simu nikamwambia mzee hilo limekwisha.

Baadaye akaiona simu yangu ikabidi aniulize simu gani hiyo nikamwambia hii ni Samsung galaxy s22 Ultra akasema naomba tupigr picha ya familia hapa kwa kutumia simu yako. Basi bila hiyana nikanyanyuka nikawapiga picha kama nne hivi nikamuonesha, mzee akasema yes picha nzuri sana sasa hebu chukuwa namba ya simu ya mwanangu hii then umtumie hizo picha.

Mwanenu bila hiyana tukabadilishana namba pale na huyo binti umri wake ni arround 27 hivi, kisu ana shape flani hivi hatari, basi nikachukuwa namba nikamtumia zile picha zikisindikizwa na caption ikisema umependeza sana, kwa mbaali unaonekana kama Hulurain, akajibu messeji kwa kucheka sana.

Mpaka muda huu sijuwi kwa nn huyu mzee alitaka nichukuwe namba ya binti yake ili nitume picha na sio namba yake yeye.

Nb: Familia nzima wanatumia iphone 13 na 14 sijuwi kwa nn alitaka nimpige picha kwa simu yangu

Nitaendelea kuwapa update kadri muda unavyoenda
View attachment 2454960
 
Kwa kiingereza inaitwa rope
images (4).jpeg
 
Habari wandugu wa MMU leo nimehudhuria send off ya class mate wangu, nipo nimekaa meza moja na mzee mmoja wa kichaga kaja na wanaye wameshuka kwenye Prado Diamond, kaja na mabinti wawili pamoja na mkewe tumekaa meza moja, wamependeza kisenge aiseee wananukia kama majini.

Wakuu mpwa wenu nimenyuka japo sio sana ila nimependeza kimtindo mkononu nineshika simu yangu Samsung gakaxy s22 Ultra tupo mezani tunakunywa juisi sisi ambao hatunywi mzee yeye anagonga kilaji mdo mdo.

Kuna muda mzee akataka tufahamiane nikamwqmbia mm naitwa Llio 002 akasema nasgukuru sana kukufahamu kijana wangu akaniuliza swali lingine unafanyabkqzi gani kijana hapo kidogo nika kaa kimya nikitafakali nikijifanya kama vile nakunywa juisi hivi, baadaye nikamjibu mimi mzee nachimba Visima I have a registered borehole drilling company akasema waohhh nna saiti yangu ipo Chalinze nahitaji kisima pale itabidi tubadilishane namba za simu nikamwambia mzee hilo limekwisha.

Baadaye akaiona simu yangu ikabidi aniulize simu gani hiyo nikamwambia hii ni Samsung galaxy s22 Ultra akasema naomba tupigr picha ya familia hapa kwa kutumia simu yako basi bila hiyana nikanyanyuka nikawapiga picha kama nne hivi nikamuonesha mzee akasema yes picha nzuri sana sasa hebu chukuwa namba ya simu ya mwanangu hii then umtumie hizo picha mwanenu bila hiyana tukabadilishana namba pale na huyo binti umri wake ni arround 27 hivi kisu senge ana shape flani hivi hatari basi nikachukuwa namba nikamtumia zile picha zikisindikizwa na caption ikisema UMEPENDEZA SANA KWA MBAALI UNAONEKANA KAMA HULURAIN...Akajibu messeji kwa kucheka sana.

Mpaka muda huu sijuwi kwa nn huyu mzee alitaka nichukuwe namba ya binti yake ili nitume picha na sio namba yake yeye.

Nb: Familia nzima wanatumia iphone 13 na 14 sijuwi kwa nn alitaka nimpige picha kwa simu yangu

Nitaendelea kuwapa update kadri muda unavyoenda
View attachment 2454960

Hakuna kitu hapo imetoka hiyo, endelea na shughuli zako za kuchimba visima!
 
Back
Top Bottom