Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wazazi wengi wa kiume wameongeza ukaribu kwa watoto. Umuhimu wa mtoto wa kike unaonekana. Uelewa kuhusu uzazi wa mpango umeongezeka. Vijana wengi wana watoto pasipo kua na ndoa/kuoa. Karibuni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Goodmorning; Nimefikiri sana ni zawadi gani nitampa mpenzi wangu na sijapata jibu Ni zawadi ya kawaida tu nzuri and simple Ni msichana anaependa urembo and she is not a middle class or lower...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi nakata tiketi mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu nikamuita ili nimweleze kilichotokea, akanisonya tena msonyo wa dharau...
2 Reactions
46 Replies
7K Views
Wana MMU, naomba kuuliza. Kama mke wangu anashindwa kunipa mapenzi kwa kiwango na ufundi (mambo ya 6 kwa 6 ) na nikimfundisha hataki au ananijibu mkato mkato, mtu gani ninayeweza kumshitakia ili...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Tumbuke siku zote:- KUPENDA ni gharama. Usiogope wala kusita kugharamika kwa ajili ya yule UMPENDAE. KUPENDA ni kujitoa (KU-SACRIFICE) tena maisha yako yote. Usisite kujitoa kimwili, kiroho...
2 Reactions
142 Replies
8K Views
Umri wangu miaka 41 nina shughuri binafsi za kuniingizia kipato, naye pia awe mwajiriwa au shughuri yoyote halali ya kumwingizia kipato.Umri wake miaka 45-60 alitayari aniPM KWA WALIO SERIOUS TU
0 Reactions
52 Replies
9K Views
Siku moja niliitwa na huyu shemeji yangu kwenda kuangalia kadi za mualiko wa harusi.Nilipofika nyumbani kwao(wakwe) nilistuka kumkuta peke yake akiwa kavaa kanga moja tu, hizi kanga za india...
12 Reactions
47 Replies
5K Views
Hello everyone,Collins here just looking for people to talk to,good friends out there that we can atleast share experience,advices and my support if I'm at a position regardless of gender or...
0 Reactions
1 Replies
950 Views
Mimi ni mdada nina miaka 31 nipo Dsm natafuta mpenzi nimechoka kuwa single, awe na kipato cha kueleweka umri kuanzia miaka 35 na kuendelea asiwe mume wa mtu mi nafanyakazi.
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wadau kuna rafki yangu mmoja ni kijana mdogo tu sasa baba yake kamlazimisha kuoa hiyo ilikuwa ni mwezi wa 6 mwaka huu dogo kajitahidi kugoma lakini mshua kalazimisha, ilifikia familia yote...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Habar za jioni wapendwa, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 nimetokea kumpenda binti fulani kiukweli tunapendana sana nahitaji kumwoa lakini kikwazo ni mahali, mama mkwe wangu anahitaji mahali...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
1.Mimba zipunguzwe miezi,badala ya miezi 9 iwe 4. 2.Nauli ya kwenda south Africa iwe bure coz ni mteremko. 3.Sukuma wiki ichunguzwe why haiwezi kusukuma mwezi au mwaka. 4.Siku za mwizi ziwe walau...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana JamiiForums. Katika uchunguzi wangu nilikokafanya hadi leo hii nimekuja kukonkludi kuwa. Wale wadada wakishua yaani fulu mashauzi, linapokuja suala la kitandani wako poor kabisa...
5 Reactions
99 Replies
17K Views
Utasikia. Siku ya harusi nitavaa suti gani kali? Nitavaa shela gani la nguvu? Nitatembeaje wakati naingia ukumbini? Tutatumia style gani ya kulishana keki? Nitaanzaje kulivua lile shela lake...
10 Reactions
77 Replies
8K Views
Naishi dar ila kwa sasa niko home tarime mara na nitakaa zaidi ya miezi sita.natafuta mpenz wa kunipa faraja kutoka tarime.au hata kama una rafiki yako huku unaweza niunganisha nae
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume miaka 29 naishi kanda ya ziwa nimeajiliwa na elimu yangu ni chuo kikuu, Najitokeza hapa kutafuta Mwanamke umri miaka 20-26 tu, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wajemeni habari za weekend! Fikiria wewe ni mvulana na unaishi kwa dada yako na shemeji yako mnaelewana vizuri tu, hana shida na wewe ila ametofautiana na dadako na kuchukua uamuzi wa kumfukuza...
1 Reactions
82 Replies
10K Views
Naomba ushauri: Wengi wanadhani nimependa kuwa hivi au tunaopenda wenzetu wa jinsia moja tumetaka,La hasha! Mimi ni mrembo sana,kuanzia sura,umbo,nina akili lakini pia nimekuzwa familia ya dini...
3 Reactions
83 Replies
26K Views
Bila shaka mtakuwa mpo wazima kuna tatizo linanitatza sana nimeleta kwenu mnipe mawazo cha kufanya. Nina girlfriend wangu tupo muda mrefu sana na nina malengo, baada ya kumaliza chuo alikuwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Huwa inauma sana. Hasa kwa mwanamke. Anajitunza na kujisitiri ujana wake wote, anavumilia vishawishi vingi akisubiri wakati muafaka wa kumpata yule anayestahili kuwa naye katika safari nzima ya...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…