geniusbaraka
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 795
- 155
Jamani Mimi Ni Kijina Nina Miaka 18 Na Cjawai Kufanya Mapenz Nipo Chuo Mwaka Wa Kwanza(wizara Ya Afya) Kuuliza Sio Ujinga Ivi Ni Mda Gan Unafaa Kuanza Kusex? Yan Avarage Age
Miaka 60
Jamani Mimi Ni Kijina Nina Miaka 18 Na Cjawai Kufanya Mapenz Nipo Chuo Mwaka Wa Kwanza(wizara Ya Afya) Kuuliza Sio Ujinga Ivi Ni Mda Gan Unafaa Kuanza Kusex? Yan Avarage Age
Ikisimama tu ndo unaanza...
Bado mumri wako mdogo kazana kutafuta maisha na mambo yatakua mazuri tu baadae hivyo utatafuta rafiki wakike baadae ukiona huyo rafiki mnaendana utamtambulisha kama mchuma kwenu na baadae utakwenda kujitambulisha kwao na kutoa mahali na mwisho mtafunga pingu za maisha yaani NDOA na hapo mtakua mke na amme hivyo mtaenjoy mapenzi yenu sawa dogoJamani Mimi Ni Kijina Nina Miaka 18 Na Cjawai Kufanya Mapenz Nipo Chuo Mwaka Wa Kwanza(wizara Ya Afya) Kuuliza Sio Ujinga Ivi Ni Mda Gan Unafaa Kuanza Kusex? Yan Avarage Age
we ni genius kweli.......mbona wasiwasi umenifika?
Ikisimama tu ndo unaanza...
Bado mumri wako mdogo kazana kutafuta maisha na mambo yatakua mazuri tu baadae hivyo utatafuta rafiki wakike baadae ukiona huyo rafiki mnaendana utamtambulisha kama mchuma kwenu na baadae utakwenda kujitambulisha kwao na kutoa mahali na mwisho mtafunga pingu za maisha yaani NDOA na hapo mtakua mke na amme hivyo mtaenjoy mapenzi yenu sawa dogo
Ma geneus huwa hawaulizi maswali ya kijinga aisee.... mbona unatuaibisha?
kwani kuna muda maalum wa kuoa??unatakiwa uanze sex baada ya ndoa..
sawa bro ,asante kwa ushauri
Unapokojoa chooni au sehemu yoyote ile ume play sex