Natafuta demu wa kupiga nae biereee mpaka majogoo

Amadoli

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
2,544
Reaction score
2,268
Hello there mim ni ME Natafuta demu aged between 20 - 25 wa kupiga nae urabu
 
Hapo Sumbawanga kuna bar inaitwa Ukombozi Bar, jisogeze taratibu, kuna warembo wa kutosha.
 
Ctak madem wa bar nataka watoto wa geti kali.. Kama yupo ani pm fasta kabla weekend haijaisha
 
Poa.......ila nakunywa Windhoek........mbili kwa wakati mmoja........yani baridi na moto nachanganya........na mpaka nilewe utafurahi..........
Vipi........bado naqualify kupiga monde na wewe...........?.........
 
Wew ni wa geti kali???
 
Back
Top Bottom