Wadau majuzi nilitupia tangazo la kuuza kanda za bongomuvi. kwa kuwa ninahama leo kuhamia kwenye mjengo wangu huko kisukuru basi yeyote ambaye ni mhitaji tuwasiliane kwa namba ile nami nitamwelekeza makazi mapya.. angalizo sio panya road nataka genuine buyers